Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
aahh umethutha huku unatabasam amaaaaa kuna ukweli hapo?
poa leo na mvua hii wapi??
Arushaone amekuharibu tayari!
nimesusa kweli
sicheki ng'ooooooo!
mi mwenzio nyumbani
tu siendi popote
mkurwaa tu huo, naruhusiwa kubembeleza??
aahh jana kweli iliamua hata mi sikutoka ni tuwisky tu
aahh si kweli.... siwezi haribikia ukubwani kama boga
nibembeleze
kama shemeji yako!!!
poa ila isijekuwa shemeji shemeji mara kibatarii pwaaaaa
hayo sasa yatakua
ni matatizo ya kiufundi
tu haina shida hahaaa!
hapo ndio umetumia busara waweja sana
ila nitabeba
na tenzi za rohoni!
tukizidiwa tunaimba tu!
mmhh haya bana, ngoja nianze kabisa "kwa isharaa ya ...... tuokoee
hahahaaaaa!
umenichekesha wewe lol!
asavali kama umeacha kuthutha