Uzi tayari😛Mitano tenaa
Mkuu ebu nitagie na MimiKuna katabia kamoja kabaya sana naona kanaanza kuota mizizi. Unakuta mkuu kauliza swali kwa mtoa uzi au mtoa hoja. Mkuu mwingine anatokea na kumwambia "akikujibu nitag" na yeye anasema poa. Sasa unakuta anajibiwa halafu hamtag yule mkuu aliyeomba kutagiwa.
Hii ni tabia mbaya na haifai kwa watu waungwana.
Cheki huyu jamaa alivyo mstaarabu.Safi kabisa KWA kuliona I'll
Matumizi ya tag yazingatiwe
Page ni nyingi
Massage ni nyingi
Ila mtu akireply text yako unaona
Sasa umepewa jibu KWA nini usimtag aliyeitaj jibu naye aone [emoji848][emoji848]
Hio pia ni ngumuBasi usikubali kuwa utamtag
Wakikujibu Ni Tag.Na tusiojua kutag, tuna Comment wapi?
Wakiku_tag ni tag na mimi.Wakikujibu Ni Tag.
Poa.Wakiku_tag ni tag na mimi.
Ukipingwa nitagKuna katabia kamoja kabaya sana naona kanaanza kuota mizizi. Unakuta mkuu kauliza swali kwa mtoa uzi au mtoa hoja. Mkuu mwingine anatokea na kumwambia "akikujibu nitag" na yeye anasema poa. Sasa unakuta anajibiwa halafu hamtag yule mkuu aliyeomba kutagiwa.
Hii ni tabia mbaya na haifai kwa watu waungwana.