Wana JF hii tabia siyo nzuri, tubadilike

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Kuna katabia kamoja kabaya sana naona kanaanza kuota mizizi. Unakuta mkuu kauliza swali kwa mtoa uzi au mtoa hoja. Mkuu mwingine anatokea na kumwambia "akikujibu nitag" na yeye anasema poa. Sasa unakuta anajibiwa halafu hamtag yule mkuu aliyeomba kutagiwa.

Hii ni tabia mbaya na haifai kwa watu waungwana.
 
Safi kabisa KWA kuliona I'll

Matumizi ya tag yazingatiwe

Page ni nyingi
Massage ni nyingi

Ila mtu akireply text yako unaona

Sasa umepewa jibu KWA nini usimtag aliyeitaj jibu naye aone [emoji848][emoji848]
 
Mkuu ebu nitagie na Mimi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
...sasa itakuwaje mfano kwa mimi nisie jua ata kutag
 
Safi kabisa KWA kuliona I'll

Matumizi ya tag yazingatiwe

Page ni nyingi
Massage ni nyingi

Ila mtu akireply text yako unaona

Sasa umepewa jibu KWA nini usimtag aliyeitaj jibu naye aone [emoji848][emoji848]
Cheki huyu jamaa alivyo mstaarabu.
Screenshot_20210301-202018.png
 
Kuna katabia kamoja kabaya sana naona kanaanza kuota mizizi. Unakuta mkuu kauliza swali kwa mtoa uzi au mtoa hoja. Mkuu mwingine anatokea na kumwambia "akikujibu nitag" na yeye anasema poa. Sasa unakuta anajibiwa halafu hamtag yule mkuu aliyeomba kutagiwa.

Hii ni tabia mbaya na haifai kwa watu waungwana.
Ukipingwa nitag
 
Back
Top Bottom