Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Kuna katabia kamoja kabaya sana naona kanaanza kuota mizizi. Unakuta mkuu kauliza swali kwa mtoa uzi au mtoa hoja. Mkuu mwingine anatokea na kumwambia "akikujibu nitag" na yeye anasema poa. Sasa unakuta anajibiwa halafu hamtag yule mkuu aliyeomba kutagiwa.
Hii ni tabia mbaya na haifai kwa watu waungwana.
Hii ni tabia mbaya na haifai kwa watu waungwana.