FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Maana pesa inapita mikononi mwa watu wengi hivyo haiwezi kuleta kansa kwao wakina mama wanaoweka,wanyonyao kama watoto na wale wa kunyapianyapia au wanyapiaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.Maana pesa inapita mikononi mwa watu wengi hivyo haiwezi kuleta kansa kwao wakina mama wanaoweka,wanyonyao kama watoto na wale wa kunyapianyapia au wanyapiaji?
View attachment 870989
Mmh aisee bila shaka una msambwandaNdani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.
Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
Hata kama huna unaiingiza hivohivo kininja ninja tuMmh aisee bila shaka una msambwanda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.
Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
Ndo mana mnaambiwa ishini na sisi kwa akili.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
espy huyu mke mwenzio ananikomesha sana sanaaaNdani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.
Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
Hii kwangu mpya kwa kweli.....na vyenye nina tutako tudogo hata buku haikali hapo ikwetaNdani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.
Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
Uko sahihi kabisaNdo mana mnaambiwa ishini na sisi kwa akili.
Inakaa.Hii kwangu mpya kwa kweli.....na vyenye nina tutako tudogo hata buku haikali hapo ikweta
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Inakaa.
Unaiviringisha mpaka inakuwa kama sigara.
Ukiona haikai, pakazaa mafuta ya mgando afu unailalisha.
Hata ucheze vipi...imekaa tu kule inajitunza.
Ukienda msalani, unafanya yako kisha kabla ya kuinuka unaibananisha, unatambaa zako.
Maisha yenyewe mafupi
Kabisa kabisa.Uko sahihi kabisa
Hahahahah😀😀😀😀😀😀😀
Madame tabia yako ya kuweka mpira kwapani wakati wa mpambano imenishinda kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hahahahah
Ukizima wake zako tutakutafutia wapi jamani.nazima data
hahahahaha
nazima nakwambia