Wana JF hii ya wanawake kuweka hela kwenye maziwa ndani ya sidiria haina madhara kwa watoto wanaonyonya na wazee wa kunyapianyapia...

Maana pesa inapita mikononi mwa watu wengi hivyo haiwezi kuleta kansa kwao wakina mama wanaoweka,wanyonyao kama watoto na wale wa kunyapianyapia au wanyapiaji?
View attachment 870989
#.......
IMG-20180918-WA0000.jpg
 
Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.

Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga

Duh hii hatari mkuu. Umenikumbusha mbali kipindi hicho nimemaliza form 6 basi nilikuwa nafanya kazi ya mpesa katika harakati za kuji'make' na kwenda chuo.
Basi siku moja alikuja mwanamke wa kizambia pale dukani anataka nimuwekee pesa kwenye simu yake. Sikuamini macho yangu alipozitolea zile pesa,daaaah tangu siku ile nikang'amua kuwa nafanya kazi moja ya hatari sana kiafya.
 
duuh
 
Pesa zinapitia sehemu nyingi sana mkuu.
Cha muhimu ni Mungu atulinde tusipate magonjwa
 
Back
Top Bottom