Wana JF hii ya wanawake kuweka hela kwenye maziwa ndani ya sidiria haina madhara kwa watoto wanaonyonya na wazee wa kunyapianyapia...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Maana pesa inapita mikononi mwa watu wengi hivyo haiwezi kuleta kansa kwao wakina mama wanaoweka,wanyonyao kama watoto na wale wa kunyapianyapia au wanyapiaji?
 
Umenikumbusha kuhusu pesa na afya . Umeagiza nyama choma , akiwa anaikatakata akapewa pesa na mteja akaacha zoezi na kumpa change . Aliyempa pesa huenda katoka chooni , nyama italikaje ?
 
Maana pesa inapita mikononi mwa watu wengi hivyo haiwezi kuleta kansa kwao wakina mama wanaoweka,wanyonyao kama watoto na wale wa kunyapianyapia au wanyapiaji?
View attachment 870989
Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.

Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
 
Mmh aisee bila shaka una msambwanda
 
Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.

Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.

Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
Hii kwangu mpya kwa kweli.....na vyenye nina tutako tudogo hata buku haikali hapo ikweta
 
Hii kwangu mpya kwa kweli.....na vyenye nina tutako tudogo hata buku haikali hapo ikweta
Inakaa.
Unaiviringisha mpaka inakuwa kama sigara.
Ukiona haikai, pakazaa mafuta ya mgando afu unailalisha.
Hata ucheze vipi...imekaa tu kule inajitunza.
Ukienda msalani, unafanya yako kisha kabla ya kuinuka unaibananisha, unatambaa zako.
Maisha yenyewe mafupi
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Madame tabia yako ya kuweka mpira kwapani wakati wa mpambano imenishinda kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Maisha yenyewe mafupi afu mtu aje kunipora pesa zangu kindezindezi....hapana aisee.
Acha tu Mwifwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…