napata tabu
nikimuoa mwanamke huyu nawaza kama sio ban anaenda kunivua nguo
na haniangushi katika hilo
nachompendea hana aibu kabisa
kama kipofu dahh
Nakusubiri uwashe data nakujibu.
tatizo ukipigwa ban mimi nakumiss sana kuliko kawaida yaaniYaani nitabadilika.
Hutaamini.
Rijali haogopi Ban jamani.
Mwanaume ni jukumu kumlinda mwanamke.Hahahaaaaa!!
Si wewe unamsaidia kuona aibu.
tatizo ukipigwa ban mimi nakumiss sana kuliko kawaida yaani
ubadilike uweje ?
Mwanaume ni jukumu kumlinda mwanamke.
Ila huyu wetu simuelewi ujue.
Umemvutisha nini mpaka anaona aibu?
Nitajitahidi nisipate ban ili tuendelee kukuliwaza mie na mwenza.tatizo ukipigwa ban mimi nakumiss sana kuliko kawaida yaani
ubadilike uweje ?
sijui kama kuna mahali nilikoseaUmemfanyaje sasa akawa hivi?
sijui kama kuna mahali nilikoseaUmemfanyaje sasa akawa hivi?
#.......Maana pesa inapita mikononi mwa watu wengi hivyo haiwezi kuleta kansa kwao wakina mama wanaoweka,wanyonyao kama watoto na wale wa kunyapianyapia au wanyapiaji?
View attachment 870989
Dah hatariHata sijui kavuta nini!!!
Atafata nyayo zangu tu.sijui kama kuna mahali nilikosea
maana wewe hujabadilika ukawa hivi
ukibadilika hadi ww nitajiuliza hili swali kwa umakini
sikujua kama hii kesi itanigeukia mimiMwanaume ni jukumu kumlinda mwanamke.
Ila huyu wetu simuelewi ujue.
Umemvutisha nini mpaka anaona aibu?
Itakuwa maana kaamkia kwako leo.sikujua kama hii kesi itanigeukia mimi
hahahaha
labda amenichanganyia na chai huyo
Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.
Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
nimewasha nasubiri jibu lakoNakusubiri uwashe data nakujibu.
Chaaaa......!!!!
Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.
Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
Pesa zinapitia sehemu nyingi sana mkuu.Duh hii hatari mkuu. Umenikumbusha mbali kipindi hicho nimemaliza form 6 basi nilikuwa nafanya kazi ya mpesa katika harakati za kuji'make' na kwenda chuo.
Basi siku moja alikuja mwanamke wa kizambia pale dukani anataka nimuwekee pesa kwenye simu yake. Sikuamini macho yangu alipozitolea zile pesa,daaaah tangu siku ile nikang'amua kuwa nafanya kazi moja ya hatari sana kiafya.
ana nia njema huyo maana atakuwa hataki nilaleItakuwa maana kaamkia kwako leo.
Kesho atakuwekea mirungi