Wana JF hii ya wanawake kuweka hela kwenye maziwa ndani ya sidiria haina madhara kwa watoto wanaonyonya na wazee wa kunyapianyapia...

Mmhh we kiboko
 
Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.

Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
Hahahaa duu kwa hiyo kama ni duka kwenye ikweta unaweza ku swipe credit card
 
Ndani ya sidiria tunawekaga tishu.
Tuulize.

Afu sehemu ingine tunapowekaga pesa ni pale katikati ya ikweta.
Hapa hata aje mwizi haipati.
Tunaiviringisha na tissue kisha tunaibana huko makalioni....maisha yanasonga
Hahaha hii tabia wanayo wateja wangu wacongo,yaani wanavyozificha hizo dollar katikat ya ikweta,akitaka kununua kitu lazima aingie chooni azitoe,na zinakua zinanuka mfyuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…