Achana na longolongo,sheria ya dini inamaliza kazi yake pale inapokili kuwa mtoto ni wa mzazi x au mke ni wa mume y.Likija suala la mali na haki nyingine,sheria za nchi zinashika hatamu unless kusiwe na dispute.
Sasa kama Mimi mama Ndio nilikuwa mzalishaj Mkuu wa familia je watoto wake aliozaa nje ya ndoa watakuwa Vipi na Haki sawa na watoto wa ndani ya ndoa?? Hapo naona kuna ukakasi kidogo.