Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama Mimi mama Ndio nilikuwa mzalishaj Mkuu wa familia je watoto wake aliozaa nje ya ndoa watakuwa Vipi na Haki sawa na watoto wa ndani ya ndoa?? Hapo naona kuna ukakasi kidogo.Achana na longolongo,sheria ya dini inamaliza kazi yake pale inapokili kuwa mtoto ni wa mzazi x au mke ni wa mume y.Likija suala la mali na haki nyingine,sheria za nchi zinashika hatamu unless kusiwe na dispute.
Mwenye mali ni nani? Je,mila zetu zinampa nani umiliki wa mali za familia?Sasa kama Mimi mama Ndio nilikuwa mzalishaj Mkuu wa familia je watoto wake aliozaa nje ya ndoa watakuwa Vipi na Haki sawa na watoto wa ndani ya ndoa?? Hapo naona kuna ukakasi kidogo.