Wana jf je mtoto wa nje ya ndoa ana haki kisheria ?

Wana jf je mtoto wa nje ya ndoa ana haki kisheria ?

Achana na longolongo,sheria ya dini inamaliza kazi yake pale inapokili kuwa mtoto ni wa mzazi x au mke ni wa mume y.Likija suala la mali na haki nyingine,sheria za nchi zinashika hatamu unless kusiwe na dispute.
Sasa kama Mimi mama Ndio nilikuwa mzalishaj Mkuu wa familia je watoto wake aliozaa nje ya ndoa watakuwa Vipi na Haki sawa na watoto wa ndani ya ndoa?? Hapo naona kuna ukakasi kidogo.
 
Sasa kama Mimi mama Ndio nilikuwa mzalishaj Mkuu wa familia je watoto wake aliozaa nje ya ndoa watakuwa Vipi na Haki sawa na watoto wa ndani ya ndoa?? Hapo naona kuna ukakasi kidogo.
Mwenye mali ni nani? Je,mila zetu zinampa nani umiliki wa mali za familia?
 
Back
Top Bottom