Wana Jf Karibuni Tanga

Mi nipo jirani yako hapo mombasa nashangaa vishutle
 
Asante sana! Niandalie maji ya ukili nikija niyaoge!
 
Tunaingia hapo kesho kama ifuatavyo.
Tutafurahi sn kukutana nanyi. Mungu atujalie uzima.
 
Wapenda wana Jf wenye safari ya kuja TA karibuni sana tunawasubiria sana.

Arabela vp tena mbona unaiangusha kule kwenye mis chit? mbinu za kivita zimeshindwa tuingie kusaidia mashambulizi?
 
Last edited by a moderator:
Arabela kipenzi naomba huyu Filipo huyu akifika huko ukae naye mbali kabisa huyu,ni afadhali ya kinana kuwa karibu naTembo kuliko wewe kuwa karibu na huyu jamaa..

Mkuu,
Mbona unaharibu malengo ya safari? Tunatakiwa kujumuika pamoja na kufurahia. Sasa wewe unataka watu wakae mbali na wenzao!?
Kama unaona donge nenda Tanga, otherwise nitakuwa na marejesho full time!
 
Last edited by a moderator:
Arabela vp tena mbona unaiangusha kule kwenye mis chit? mbinu za kivita zimeshindwa tuingie kusaidia mashambulizi?

niko kwenye mchakamchaka nafanya maangamizi ya kishindo Zanta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…