Wana Jf Karibuni Tanga

Wana Jf Karibuni Tanga

Mie nipo kwenye shamba la maembe namalizia kuvuna nikimaliza nakuja Arabela
 
Last edited by a moderator:
Asante sana bibie Arabela
Naamini ntafurahi sana kuwaona
 
Last edited by a moderator:
waongo utawajua tu!....hujambo wewe

ujue mila ya kwetu huwezi kuonana na watu mikono mitupu nataka kila mtu nimletee maembe kwenye mifuko ya condom imejaa mpakaa juu
 
hahaha...mambo ya "mgeni njoo mwenyeji apone"
 
Achana nae huyo nyau! Wivu tu unamsumbua!

St. Paka Mweusi unaona hapo juu nilipoboldi, unakubaliana na chilipoo anachokine?? halafu anakuita nyau?

Arabela
huko tanga tutarudi na roho zetu kweli.....!!! nihakikishie usalama kwanza wa nguo zangu kutokurowekwa kwenye maji siku ya kuondoka
 
usalama upo usijali kabisa ntakuwa responsible kwa hilo
 
Back
Top Bottom