Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Dec 27, 2012 Thread starter #41 amu said: Mie nipo kwenye shamba la maembe namalizia kuvuna nikimaliza nakuja Arabela Click to expand... mh mwaka ujao huo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
amu said: Mie nipo kwenye shamba la maembe namalizia kuvuna nikimaliza nakuja Arabela Click to expand... mh mwaka ujao huo
Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Dec 27, 2012 Thread starter #42 Chimbuvu said: Mi nipo jirani yako hapo mombasa Click to expand... sogea tanga basi
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,635 Reaction score 3,656 Dec 28, 2012 #43 Asante mpendwa.. Tutaonana Mungu akipenda....
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Dec 28, 2012 #44 Arabela said: Wapenda wana Jf wenye safari ya kuja TA karibuni sana tunawasubiria sana. Click to expand... twaja...nasikia warembo wa huko kutoa huduma ya tigo ndio wenyewe...wacha tuje pata raha
Arabela said: Wapenda wana Jf wenye safari ya kuja TA karibuni sana tunawasubiria sana. Click to expand... twaja...nasikia warembo wa huko kutoa huduma ya tigo ndio wenyewe...wacha tuje pata raha
Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Dec 28, 2012 Thread starter #45 mzabzab said: twaja...nasikia warembo wa huko kutoa huduma ya tigo ndio wenyewe...wacha tuje pata raha Click to expand... mh hayo mapya sijayasikia.
mzabzab said: twaja...nasikia warembo wa huko kutoa huduma ya tigo ndio wenyewe...wacha tuje pata raha Click to expand... mh hayo mapya sijayasikia.
Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Dec 28, 2012 Thread starter #46 marejesho said: Asante mpendwa.. Tutaonana Mungu akipenda.... Click to expand... amin my dia welcome
kibali JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 504 Reaction score 425 Dec 28, 2012 #47 Sasa wanatukuta wapi hawa wapenda hapa tanga? Sijui wameshaanza safari? Au wankuja usiku? Karibuni tanga chuda raha makorora tunadeka
Sasa wanatukuta wapi hawa wapenda hapa tanga? Sijui wameshaanza safari? Au wankuja usiku? Karibuni tanga chuda raha makorora tunadeka
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,341 Reaction score 5,543 Dec 28, 2012 #48 kibali said: Sasa wanatukuta wapi hawa wapenda hapa tanga? Sijui wameshaanza safari? Au wankuja usiku? Karibuni tanga chuda raha makorora tunadeka Click to expand... kibali unaweza kumPM Dark City kwa more details! Tunatarajia kufika huko saa 10 jioni. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kibali said: Sasa wanatukuta wapi hawa wapenda hapa tanga? Sijui wameshaanza safari? Au wankuja usiku? Karibuni tanga chuda raha makorora tunadeka Click to expand... kibali unaweza kumPM Dark City kwa more details! Tunatarajia kufika huko saa 10 jioni.
N ndandawamalenja JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 475 Reaction score 353 Dec 28, 2012 #49 Asante ndugu, hivi shule ya St. Christina ipo Tanga mjini? Naleta kid tar 10 January aanze form one. Nafikaje hapo nikitokea Nyinda Executive Inn? (Hapo ndio ntafikia)
Asante ndugu, hivi shule ya St. Christina ipo Tanga mjini? Naleta kid tar 10 January aanze form one. Nafikaje hapo nikitokea Nyinda Executive Inn? (Hapo ndio ntafikia)
Arushaone JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,194 Reaction score 13,426 Dec 28, 2012 #50 Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali.
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Dec 28, 2012 #51 By the grace of God Arabela said: sogea tanga basi Click to expand...
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,341 Reaction score 5,543 Dec 28, 2012 #52 Arushaone said: Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali. Click to expand... Tutakukosa sana Mkuu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone said: Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali. Click to expand... Tutakukosa sana Mkuu!
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,635 Reaction score 3,656 Dec 28, 2012 #53 Arushaone said: Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali. Click to expand... Bora mkuu!!Hofu yangu ungeng'ang'ania kama kule Machame kwa kina Smile Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone said: Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali. Click to expand... Bora mkuu!!Hofu yangu ungeng'ang'ania kama kule Machame kwa kina Smile
Arushaone JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,194 Reaction score 13,426 Dec 28, 2012 #54 Filipo said: Tutakukosa sana Mkuu! Click to expand... Nawatakia safari njema Filipo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,194 Reaction score 13,426 Dec 28, 2012 #55 marejesho said: Bora mkuu!!Hofu yangu ungeng'ang'ania kama kule Machame kwa kina Smile Click to expand... Point of correction marejesho! Nili-stuck BOMANG'OMBE kwa my wifu Mamzalendo bhana! Unasahau mapema ivo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
marejesho said: Bora mkuu!!Hofu yangu ungeng'ang'ania kama kule Machame kwa kina Smile Click to expand... Point of correction marejesho! Nili-stuck BOMANG'OMBE kwa my wifu Mamzalendo bhana! Unasahau mapema ivo?
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Dec 28, 2012 #56 Arushaone said: Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali. Click to expand... Halafu bora wewe huendi Tanga, maana King'asti alikuwa na mpango wa kukubakiza hukohuko Tanga, imagine sisi tungemjibu nini mke wako Mama Gungulugwa! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone said: Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali. Click to expand... Halafu bora wewe huendi Tanga, maana King'asti alikuwa na mpango wa kukubakiza hukohuko Tanga, imagine sisi tungemjibu nini mke wako Mama Gungulugwa!
Arushaone JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,194 Reaction score 13,426 Dec 28, 2012 #57 PakaJimmy said: Halafu bora wewe huendi Tanga, maana King'asti alikuwa na mpango wa kukubakiza hukohuko Tanga, imagine sisi tungemjibu nini mke wako Mama Gungulugwa! Click to expand... King'asti mke halali wa Paw! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
PakaJimmy said: Halafu bora wewe huendi Tanga, maana King'asti alikuwa na mpango wa kukubakiza hukohuko Tanga, imagine sisi tungemjibu nini mke wako Mama Gungulugwa! Click to expand... King'asti mke halali wa Paw!
Jiwe Linaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,736 Reaction score 2,138 Dec 28, 2012 #58 Arabela said: usalama upo usijali kabisa ntakuwa responsible kwa hilo Click to expand... nashukuru sana bahati mbaya ratiba iko tite next time ubarikiwe sana
Arabela said: usalama upo usijali kabisa ntakuwa responsible kwa hilo Click to expand... nashukuru sana bahati mbaya ratiba iko tite next time ubarikiwe sana
Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Dec 28, 2012 Thread starter #59 kibali said: Sasa wanatukuta wapi hawa wapenda hapa tanga? Sijui wameshaanza safari? Au wankuja usiku? Karibuni tanga chuda raha makorora tunadeka Click to expand... wasiliana na babu Dc ndo mwenye mipango
kibali said: Sasa wanatukuta wapi hawa wapenda hapa tanga? Sijui wameshaanza safari? Au wankuja usiku? Karibuni tanga chuda raha makorora tunadeka Click to expand... wasiliana na babu Dc ndo mwenye mipango
Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Dec 28, 2012 Thread starter #60 Arushaone said: Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali. Click to expand... mh usinirushe roho jaman Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone said: Ningekuja lakini nimeghairi, ntakuja mwakani mimi mwenyewe. COPY: Arabela, KOKUTONA, Dark City. YNNAH, Mwanyasi na kibali. Click to expand... mh usinirushe roho jaman