Usikose eneo la tukio mkubwa.Nipo tanga kwa sikukuu apa minji sijui
Asee awa waendesha baiskeli na pikipiki wanantisha ku drink and drive
mmmmhhhhh????twaja...nasikia warembo wa huko kutoa huduma ya tigo ndio wenyewe...wacha tuje pata raha
Ha ha haaaaa! Mbavu zangu mie jamani, mbona unalia St. Paka Mweusi?? unamwogopa sana Filipo eh??? Usijali marejesho kambana sana hawezi kwenda kwa Arabela
unatakiwa kukemewa pepo la kuvuruga ndoa za watu!
Ha ha haaaaa! Mbavu zangu mie jamani, mbona unalia St. Paka Mweusi?? unamwogopa sana Filipo eh??? Usijali marejesho kambana sana hawezi kwenda kwa Arabela
Kwenye red upo sahihi kabisa
hapana ndo ukweli alikuwa zero distance