Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 286
- 749
- Thread starter
- #21
sawa izo ni mbili umetaja bado mbili(1)Aliyeona akakusimulia habali zake huwa zinakuwa kwa kipindi maalumu yaani inategemeana na uhai wa msimuliaji
(2)Aliyesikia akakusimulia habali zake hazina mda maalum inaweze ikachukua miaka na miaka
(3)Aliyeona akakusimulia mara nyingi huwa inakuwa habali ya ukweli mtupu
(4)Aliyesikia akakusimulia mara nyingi huwa habali yake inaongezwa chumvi

