Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 286
- 749
- Thread starter
-
- #21
sawa izo ni mbili umetaja bado mbili(1)Aliyeona akakusimulia habali zake huwa zinakuwa kwa kipindi maalumu yaani inategemeana na uhai wa msimuliaji
(2)Aliyesikia akakusimulia habali zake hazina mda maalum inaweze ikachukua miaka na miaka
(3)Aliyeona akakusimulia mara nyingi huwa inakuwa habali ya ukweli mtupu
(4)Aliyesikia akakusimulia mara nyingi huwa habali yake inaongezwa chumvi
| A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA | B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA |
|---|
upo vizuri ila ungetaja 4 mkuu. zingatia jedwali apo juu umeshatajiwa moja
- Chanzo cha taarifa:
- Aliyeona anapata taarifa moja kwa moja kupitia kuona, hivyo anaweza kutoa maelezo ya kina zaidi.
- Aliyesikia anapata taarifa kupitia sauti, ambayo inaweza kuwa na ukosefu wa maelezo ya kina.
- Uhalisia wa tukio:
- Aliyeona anaweza kuelezea mambo kama jinsi yalivyokuwa, ikiwemo hisia na mazingira.
- Aliyesikia anaweza kuelezea tu kile alichosikia, bila picha ya halisi.
- Uthibitisho:
- Aliyeona anaweza kuthibitisha ukweli wa tukio kwa ushahidi wa moja kwa moja.
- Aliyesikia anaweza kuleta uvumi au maelezo yasiyo na uhakika.
- Uelewa wa hisia:
- Aliyeona anaweza kuelewa na kuelezea hisia za wahusika kutokana na uhalisia wa tukio.
- Aliyesikia anaweza kuwa na ufahamu mdogo wa hisia hizo.
- Usahihi wa maelezo:
- Aliyeona anaweza kuwa na maelezo sahihi zaidi kutokana na uzoefu wa moja kwa moja.
- Aliyesikia anaweza kuwa na maelezo yasiyo sahihi kutokana na tafsiri ya mtu mwingine.
namba point namba nne na namba mbili ni point moja
A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA
- Alikuwepo eneo la tukio | 1. Hakuwepo eneo la tukio
- Anaeleza kwa uhakika zaidi | 2. Anaweza kutoeleza kwa uhakika
- Anaeleza kwa hisia za kibinafsi | 3. Anaeleza kwa kutumia habari za mtu mwingine
- Anaweza kutoa maelezo ya kina | 4. Anaweza kukosa baadhi ya maelezo muhimu
- Uelewa wake unatokana na uzoefu wa moja kwa moja | 5. Uelewa wake unatokana na kusimuliwa na wengine
Watu wa Physics tutulie tuwaachie watu WA literature waendelee ku-discuss vitu vyao... Watu WA soft science endeleeni
AI hiyoUMECHEMKA NDUGU
| A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA | B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA |
|---|
umechoraje mkuu?
A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA
- Alikuwepo eneo la tukio | 1. Hakuwepo eneo la tukio
- Anaeleza kwa uhakika zaidi | 2. Anaweza kutoeleza kwa uhakika
- Anaeleza kwa hisia za kibinafsi | 3. Anaeleza kwa kutumia habari za mtu mwingine
- Anaweza kutoa maelezo ya kina | 4. Anaweza kukosa baadhi ya maelezo muhimu
- Uelewa wake unatokana na uzoefu wa moja kwa moja | 5. Uelewa wake unatokana na kusimuliwa na wengine
KIVIPIumechoraje mkuu?
Je kama aliyeona aliona picha tu ila hakusikia, si atatunga maelezo yake kulingana na picha aliyoiona.Toa\taja tofauti tano (5) kati ya
1)Aliyeona akikusimulia na,
2)aliyesikia akikusimulia
Mimi nitaanza kwa kujibu tofauti ya kwanza.
A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA 1.Alikuwepo eneo la tukio 1.Hakuwepo eneo latukio 2. 3. 4. 5.
2 Alikuwepo ( Aliona)Toa\taja tofauti tano (5) kati ya
1)Aliyeona akikusimulia na,
2)aliyesikia akikusimulia
Mimi nitaanza kwa kujibu tofauti ya kwanza.
A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA 1.Alikuwepo eneo la tukio 1.Hakuwepo eneo latukio 2. 3. 4. 5.
Umenikumbusha penzi langu na binti kiziwi.Toa\taja tofauti tano (5) kati ya