Wana jf leo Weekend tunatoka vipi?

Wana jf leo Weekend tunatoka vipi?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Wana jf makaka na masister mambo vipi? Poleni na Siku za wiki za mikiki mikiki, leo weekend siku ya kuchangamsha ubongo, na kwenye meza pachangamke alooo,

Kidogo machozi ya Simba, mishikaki kidogo na mdudu kwa mbali aisee kitu mwake mwake, nimemiss sana hizo siku, ila siku zote gharama, nami nashindwa kwenda maeneo ya kujidai leo siko poa viwanja,

Yani leo mifuko yangu leo inasema tuzike au tusafirishe, yote kwa sababu ya matukio ya kimaisha hela haikai, Wana jf aliepo vizuri anisidikizieko siku yangu iende vizuri kiufupi nimekwama kutoka leo, najua starehe gharama ila nikipata ya bia mbili tatu siku yangu murua kabisa,

Unaweza ukanicheck hapa kwa 0674615883 kwa maelekezo zaidi.
 
Ni weekend tu huwa nazimua basi
Nashauri ianzishwe bodi ya makusanyo na hazina ya JF, na hili liratibiwe na Mshana Jr kila mhitaji apewe code yake, kipindi mambo ni mazuri unachangia walau kiasi kadhaa kuinua mfuko.

Siku ikifika uko apeche lakini koo linawasha, unamcheki Director General chap, unataja code yako then unawezeshwa at least faru 1 & mdudu ½ + ndizi 3.

Kama uzi wa mvinyo ulioasisiwa na Mshana jr una wafuasi zaidi ya 1k, je kila mtu akichangia at least 5k kwa mwezi ni shingapi??
 
Aya mze ila siyo kila weekend lazima utoke ukiona hauna mawe mze chill home tu.
 
Wana jf makaka na masister mambo vipi? Poleni na Siku za wiki za mikiki mikiki, leo weekend siku ya kuchangamsha ubongo, na kwenye meza pachangamke alooo,

Kidogo machozi ya Simba, mishikaki kidogo na mdudu kwa mbali aisee kitu mwake mwake, nimemiss sana hizo siku, ila siku zote gharama, nami nashindwa kwenda maeneo ya kujidai leo siko poa viwanja,

Yani leo mifuko yangu leo inasema tuzike au tusafirishe, yote kwa sababu ya matukio ya kimaisha hela haikai, Wana jf aliepo vizuri anisidikizieko siku yangu iende vizuri kiufupi nimekwama kutoka leo, najua starehe gharama ila nikipata ya bia mbili tatu siku yangu murua kabisa,

Unaweza ukanicheck hapa kwa 0674615883 kwa maelekezo zaidi.

Hahahahaha you made my day
 
Makaka na masister imeshindikana jamani?
 
Back
Top Bottom