Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

Members wa jf wa zamani wana dharau sana aisee!! Sawa mambo yamebadilika and ofcoz time has changed too, sasa wao kwa nini wasikubaliane na mabadiliko!!!

Hivi ukiwa kwenye kundi la mende wewe unakuwa nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni shida sana mtu unapokuwa hutaki kukubali mabadiliko...zamani walikuwa wachache na tabia zilikuwa chache sasa hivi tupo wengi hivyohivyo penye wengi lazima pawe na mengi. Kuna mahali nimepita eti wanasema kufungwa kwa ze utamu mburulaz wote wamehamia huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ze utamu ndio nini tena?
Hivi walitegemea jf iwe kama ilivyoanzishwa milele? If thats the case hata katiba mpya hatupaswi kuwa nayo kwakweli.
Alafu kama wanataka mada nzito zenye mashiko na zinazomeet akili zao si wazianzishe? Kwanini wanasoma hizo za mende?
 
Wengine usingizi wetu tumeupatia humu thanks jamii forum kwa kunipa yule mkaka mwenye dharau
 
Ze utamu ndio nini tena?
Hivi walitegemea jf iwe kama ilivyoanzishwa milele? If thats the case hata katiba mpya hatupaswi kuwa nayo kwakweli.
Alafu kama wanataka mada nzito zenye mashiko na zinazomeet akili zao si wazianzishe? Kwanini wanasoma hizo za mende?
Ndo hapo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom