Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

Members wa jf wa zamani wana dharau sana aisee!! Sawa mambo yamebadilika and ofcoz time has changed too, sasa wao kwa nini wasikubaliane na mabadiliko!!!

Hivi ukiwa kwenye kundi la mende wewe unakuwa nini?
Anakuwa mhenga mende
 
Back
Top Bottom