Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

Sasa babu Wenger huoni kama comment yako itapelekea matabaka humu jukwaani?

Vp pop corn.. Umeshanunua?
Badala ya popcorn nimejikuta nimenunua nyagi Faru John...

Ngoja nihangaike nalo...
 
Mwache ahangaike nalo, mi niko napasha misuli moto tayari kuibomoa Arsenal ya Tandale
images
Na sisi mashabiki wanazi mkipiga kambi ya kula hatuko nyuma ....tushajipanga mtakula mshibe
a1b544b5bc9c703b2ccabc1974501bb8.jpg
 
Badala ya popcorn nimejikuta nimenunua nyagi Faru John...

Ngoja nihangaike nalo...
Ila umekosea sana kusema Liverpool na Arsenal

Haka ni ka ligi ka bondia wa uzito wa juu Antony Joshua ambae ni mm na hapa mapambana na marehemu Thomas mashari.
 
Back
Top Bottom