Yeah napenda sana series mdogo wangu. Ndio starehe yangu ile.Safi tu dada, huwa nakuona kwenye Uzi series kule
Furahia dada maisha yenyewe ndio haya haya, hata Mimi nafatilia baadhiYeah napenda sana series mdogo wangu. Ndio starehe yangu ile.
Poa poa mdogo wangu, uwe na siku yenye baraka tele.Furahia dada maisha yenyewe ndio haya haya, hata Mimi nafatilia baadhi
Kwako pia dada yanguPoa poa mdogo wangu, uwe na siku yenye baraka tele.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni shida sana mtu unapokuwa hutaki kukubali mabadiliko...zamani walikuwa wachache na tabia zilikuwa chache sasa hivi tupo wengi hivyohivyo penye wengi lazima pawe na mengi. Kuna mahali nimepita eti wanasema kufungwa kwa ze utamu mburulaz wote wamehamia hukuMembers wa jf wa zamani wana dharau sana aisee!! Sawa mambo yamebadilika and ofcoz time has changed too, sasa wao kwa nini wasikubaliane na mabadiliko!!!
Hivi ukiwa kwenye kundi la mende wewe unakuwa nini?
Ze utamu ndio nini tena?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni shida sana mtu unapokuwa hutaki kukubali mabadiliko...zamani walikuwa wachache na tabia zilikuwa chache sasa hivi tupo wengi hivyohivyo penye wengi lazima pawe na mengi. Kuna mahali nimepita eti wanasema kufungwa kwa ze utamu mburulaz wote wamehamia huku
Sent using Jamii Forums mobile app
YupoDah..ivi huyu jamaa yupo kweli?
Naukumbukaga sana Uzi wake wa
WAS JESUS BLACK?
Ndo hapo sasa.Ze utamu ndio nini tena?
Hivi walitegemea jf iwe kama ilivyoanzishwa milele? If thats the case hata katiba mpya hatupaswi kuwa nayo kwakweli.
Alafu kama wanataka mada nzito zenye mashiko na zinazomeet akili zao si wazianzishe? Kwanini wanasoma hizo za mende?