Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Aah pacha wacha kutufunga kamba....na kale kabinti je?Mimi simfahamu hata mmoja nje ya JF. Naomba nikufahamu wewe nje ya JF...🙂🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah pacha wacha kutufunga kamba....na kale kabinti je?Mimi simfahamu hata mmoja nje ya JF. Naomba nikufahamu wewe nje ya JF...🙂🙂
Taja ID ya mkeo tusije tukamzimikie aiseeWengine paka tumeoa humu humu....
Thanks jf
Kale sikafahamu nje ya chit chat....
Jina lake linafanana na lile jina la id yako ya zamaniTaja ID ya mkeo tusije tukamzimikie aisee
Poa mkuu.Jina lake linafanana na lile jina la id yako ya zamani
Hahaa ulongo huo ila mimi nakufahamuKale sikafahamu nje ya chit chat....
Sawa. Na mimi naomba nikufahamu wewe nje ya JF...
Asante pacha mhenga...🙂🙂
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Poa mkuu.
Kila la kheri
Na wao wana kufahamu?Mie nawafahamu hawa:-
1. Maxence Melo
2. Zitto
3. Malisa Godlisten
4. Halima Mdee
5. John Mnyika
6. Kubenea
7. Sugu
8. Ben Saanane
9. Yericko Nyerere
10. W. J. Malecela
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sasa ule ' Uchunguzi / Ujasusi ' wa Majina halisi ya Members wa JF umeanza rasmi kwa ' approach ' ya aina yake kutoka kwa wenye Kazi zao pande za ' Eagle Wing House '.
Yangu macho!