The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Wanatetea hoja sijui siku hiyo bailojia inakuwa haijakamuliwa Mdimu?
Mmh...
Mmh...
Mbona bado ana muda wa kujiandaa kuanzia leo na kesho maana anaenda kumuona jamaa jumamosi
He he he!guest tena!anyway,kama ataona yuko safe na comfortable aende hata huko guest,lakini simshauriHahahaha kwa hiyo wakutane Guest sio? kwani kwake kuna tatizo gani?
Siyo siku ya kwanza tuu, ntakuchapa Fidel
Heshima yako mwenyekiti...:hug::hug::gossip::kiss:
Good boy...Jinsi unavyoguna halafu Posted via Mobile orait orait nimeelewa hahitaji explanation
He he he!guest tena!anyway,kama ataona yuko safe na comfortable aende hata huko guest,lakini simshauri
Heshima yako mwenyekiti...
Good boy...
Mi nilicho jifunza hapo mwanamke ukiomba kumega siku ya kwanza na ukamega anahisi kuwa wewe utafikiri yeye kicheche kwa hiyo lazima akuzungushe zungushe kama pia
Na kwanini wewe uombe first meet?labda kama mlikuwa mmedate muda mrefu though GOD FORBID:A S 103::A S 103:
Sijui kwanini lakini i am obsessed with your(boobs)
Mimi nikitongoza na nikakubaliwa kinacho fuata maombi ya kumega tena siku hiyo hiyo sicheleweshi je nikifa kesho yake? utanililiaje? lazima kieleweke siku hiyo hiyo
Sijui kwanini lakini i am obsessed with your(boobs)
Kwani me c nimeskia ndimu unakamulia labda ukiwa kwenye nyota zako? sa kwan hata kawaida unaweza kamulia ili njaribu na mie siku moja ila haina madhara kweli fidel
Kwi kwi kwi watu mna vituko humu JF lol, halafu ndio ulikuwa unamfeel mara afwa
Kuna wimbo wa zamani unazungumzia hii picha........... Sijui uliimbwaga na kina Less Wanyika?.....LolMimi nikitongoza na nikakubaliwa kinacho fuata maombi ya kumega tena siku hiyo hiyo sicheleweshi je nikifa kesho yake? utanililiaje? lazima kieleweke siku hiyo hiyo
Hii hapa unakamulia kwa yule mpenzi ambae unamzungusha au unamchelewesha kukumega akisema leo wewe unasema mwezi ujao sasa siku ndo unakubali kwenda kumegwa unakamulia Ndimu ili kitu kiwe mnato jamaa akizama asione kitu ka used saaaaaaaaana yaani unakuwa ka bikra vinginevyo jamaa baada ya gemu anaweza sema humu hamna kitu yaani kitu yaani miezi yote unanizungusha kumbe vitu hamna kabisa humu na akakutosa jumla hakutafuti tena utaishia kumuota tu katika njozi.
Kwa hiyo ushauri wako waende porini wakamegeane maana chumbani sio safe tena Guest sio safe