Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

eti eeee sasa dada mwenyewe alisema hataki kabisa kutoa mbunye nikimwambia si ataniona mwanga

Kwani hata ungeendelea kumwabia asitoe unaamini vipi kwamba angekukubalia na kweli asitoe akishafika kwa huyo hani wake?
 
Weeee,

Kwa mzazi mtoto hakui bwana. Ndio maana tupo kuwasaidia hawa vijana ili hata kondoo mmoja asipotee. Unamshauri tu, tena vizuri sana. Wakati mwingine ni msongo rika tu ndio unamsumbua. Mfano huyo dada akili yake yote sasa inafikiria kumegwa wakati kuna raha nyingi sana anaweza kupata kwa kumwona huyo BF mpya bila hata kustuliwa. Na usishangae akaja yeye mwenyewe kuomba mechi. Mimi ilishanitokea hiyo.

Ngoja niishie hapa kwanza...wajukuu wengine wanatakiwa wakalale kwanza!

Babu naona umeamua leo kutoa ukweli lol JF pazuri bana
 
nin baba?asi cha usiku chakula jaman?
mara nyng inakuwa wali maharage,ndiz au chapat chai au we uliichukuliaje?labda?

Unajua kuwa wengine tunaona na kufikiri kwa kutumia magnifying lens? Jitahidi basi walau muda wa kufunga ofisi ufike kabla hatajakwazika!
 
Ishu ilikuwa ni kumshauri tu huyo dada kwani kweli anampenda jamaa lakini anashangaa kwa nini akaribishwe home anahisi kama jamaa anataka kumega. Haya mengine ya kutoleana mahari na kumegana na kutoumia, yameingilia kati tu si unajua jf unaweza kuanzisha sired halafu watu wakachomekea na mengine humo humo

na kuna ubaya gani maty kama wakimegana? kwani yeye hana hamu? siku zote alikuwa anamtamani kama kaka yake ama? sielewi!
 
Babu naona umeamua leo kutoa ukweli lol JF pazuri bana

Unajua inauma unapoona watoto wanasumbuliwa na vitu simple simple kabisa...Yaani rahisi kuliko algebra za darasa la 2!

Kwani huyo rafiki yako anaumwa kwenye anatomia (anatomy) yake? Au ana matatizo ya kisaikolojia kwamba akishafika tu basi anakuwa kama kalishwa dawa ya kumfanya akubalie kila kitu?

Kama yuko hivyo basi mshauri ajiunge na utawa. Vinginevyo kila akitongozwa yeye ataanza kutoa pants na hatakuwa salama huyo...Jemba zita-take advantage hata kuhamia kwenye upuuzi wao wa Tigo. Kwani anaonekana siyo strong. Zaidi ya hapa tumsaidieje?
 
na kuna ubaya gani maty kama wakimegana? kwani yeye hana hamu? siku zote alikuwa anamtamani kama kaka yake ama? sielewi!

Hivi ulikuwa wapi?

Naona nimesema weee....lakini hawa watoto hata hawaelewi. Wanadhani kumegwa ni adhabu, na mwingine kasema ni msiba...LOL
 
Kamwambie huyo rafiki yako aache kabisa kisebu sebu...kama moyo unatamani kwanini anataka kuifunga miguu yake??

Ngoja nimwombe ufafanuzi Rev. Masa,

Kwani si tulishaambiwa kuwa ...Tafuteni kwanza ufalme wa Mbinguni... ? Na huyo dada atafute kwanza penzi lake...mengine mbona yatakuja yenewe? Mweleze hata akificha Pluto, atarudi mwenyewe?

Ntamwambia DC maana we ulikuwa unapinga sana ifi lakini katika hili umehalalisha nimekupata sana
 
Ntamwambia DC maana we ulikuwa unapinga sana ifi lakini katika hili umehalalisha nimekupata sana

Please Maty...naomba sana usianzishe ugomvi...

Mimi nimesema huyo dada aache kuwa defensive. Achukue time amfahamu BF wake mpya. Ikibidi kupata chakula cha bwana siyo vibaya. Hiyo hata ukienda kwa Karndali....atakuhakikishia kuwa iko kwenye maandika mapya au wewe umeelewaje?
 
Hivi ulikuwa wapi?

Naona nimesema weee....lakini hawa watoto hata hawaelewi. Wanadhani kumegwa ni adhabu, na mwingine kasema ni msiba...LOL

mkuu Rit. Gen,

Nilibanwa mbavu sehemu, kuibuka ndo nakutana na hii kitu, and am like mbona uzito umewekwa sana kwenye kumegwa as if wao ndo wa kwanza huku Duniani kumegana? lakini naona mkuu umeshawapa darsa kama kawaida
 
eti eeee sasa dada mwenyewe alisema hataki kabisa kutoa mbunye nikimwambia si ataniona mwanga

hivi ushoga gani huo wa male&female unaoendelea bila mdada kutoa hiyo mbunye?huyo dada anachotafuta sasa ni nini, au anataka kucheza egoli tu????
 
m here beb maty
dark cty sema kaka
nilikuwa meeting...pole kwa kunikosa jaman
mchana ushapta sa itakuwaje?
labda nkupe cha dina dina?
ennhh???? sema bas maty km vp ntakupa cha usiku dina uipate kwa unono!!!!!

Nakisubiri kwa hamu rose karibuuuu mi ntaacha milango yote wazi wa nyuma na wa mbele ili usipate shida ya kugonga mwaya
 
Nina rafiki yangu jana jioni aliniita na kuniomba ushauri sasa nimeshindwa hata cha kumshauri kwani sina uhakika, ndio maana nimeamua kulileta hapa kwenu mnisaidie mawazo.

Huyu dada anadai kazini kwao alikutana na mkaka siku moja wakati wa lunch yaani ile kumuona tu akatokea kumpenda ghafla mpaka akajishangaa kwani (hata mimi najua hilo) yy anapenda sana wanaume mahandisamu halafu weupe yaani akiwaona hao moyo wake huwa unashindwa kufanya kazi kabisa. Lakini akashangaa anampenda huyo kaka kwani si mbaya ila sio type ya wale anaozingukaga nao halafu ni black lakini akavutiwa nae sana ikabidi awe anaenda kula ile sehemu kila mara ili awe anamuona tu na akaniambia alikuwa hata anasali kuomba mungu huyo kaka itokee siku amtongoze na anatamani hata ikiwezekana awe mumewe lakini haikuwa hivyo ila huwa wanapeana hi ya juu juu wakikutana. Siku zikawa zinaenda tu mpaka ikakatika miezi sita. Wiki iliyopita yule mkaka akaanza kumzoea zoea taratibu wakikutana anamisimamisha anamuuliza hili na lile wakaanza kuzoeana taratibu ila si kiviile, sasa anasema juzi yule kaka akamuomba amtembelee ofisini kwake, yule dada akaenda wakapigapiga stori yule kaka akamwambia nilikuwa natamani kuzungumza na wewe toka siku nyingi ila ulikuwa uko serious sana mpka nikawa nakuogopa, hata kukwambia uje ofisini kwangu leo niliamua kujitosa tu nashukuru umekuja wakabidilishana mawazo baadae yule kaka akamsindikiza yule mdada mpaka maeneo ya kwao na wamepanga wakutane jmosi. Sasa akawa ananiuliza hivi inawezekana wakawa wanapendana kiukweli cause kwa maelezo yake inaonyesha yule dada alikuwa anamzimikia mshikaji na mshkaji alikuwa anamzimia demu ila kila mtu alikuwa anashindwa kumwambia mwenzie ila anasema kilichomshtua jamaa kamwambia hiyo jmosi wakutane kwake (kwa jamaa) ndio akaja kuniuliza je aende isije kuwa mshkaji anataka tu kummega na yeye hata kama anampenda hayuko tayari kumegana nae halafu yaishe yaani kama hana msimamo ni bora yaishe. So naombeni mauzoefu yenu wandugu labda kuna wengine ilishawahi kuwatokea hii na ikawaje

nategemea ushauri mzuri wapendwa na si madongo

...ningeporomosha bonge la dongo, bahati yako umeomba suluhu mwishoni.
 
mkuu Rit. Gen,

Nilibanwa mbavu sehemu, kuibuka ndo nakutana na hii kitu, and am like mbona uzito umewekwa sana kwenye kumegwa as if wao ndo wa kwanza huku Duniani kumegana? lakini naona mkuu umeshawapa darsa kama kawaida

Lakini si umeona kuwa Maty hataki kuelewa eeee? Atamfanya mwenzake apate fever na kutetemeka kabla hata hajaambiwa kitu kama hicho. Kitu hicho kinaweza kumharibia kabisa. Inaonesha hapo comfo ni ziro kabisa...Ni dalili mbaya sana hizo.
 
Nadhani wewe utamsaidia aache woga...

Imenikumbusha movie moja ya dada aliyekuwa anaogoma one-eyed snake hadi kutema ndoa kibao!!

Msemo wa Acid sampuli hiyo ndio huwa wanamegwa kila siku wakitegemea jamaa ataweka kambi kumbe jamaa akiishamaliza mashambulizi anahamia kambi nyingine
 
Unajua inauma unapoona watoto wanasumbuliwa na vitu simple simple kabisa...Yaani rahisi kuliko algebra za darasa la 2!

Kwani huyo rafiki yako anaumwa kwenye anatomia (anatomy) yake? Au ana matatizo ya kisaikolojia kwamba akishafika tu basi anakuwa kama kalishwa dawa ya kumfanya akubalie kila kitu?

Kama yuko hivyo basi mshauri ajiunge na utawa. Vinginevyo kila akitongozwa yeye ataanza kutoa pants na hatakuwa salama huyo...Jemba zita-take advantage hata kuhamia kwenye upuuzi wao wa Tigo. Kwani anaonekana siyo strong. Zaidi ya hapa tumsaidieje?

Point Noted DC!!!!
 
Nakisubiri kwa hamu rose karibuuuu mi ntaacha milango yote wazi wa nyuma na wa mbele ili usipate shida ya kugonga mwaya

Hapo ni matatizo yangu pekee au ndo nimeshaanza kusahau lugha ya Nyerere????
 
Back
Top Bottom