Wana-JF, Msaada

Yan unatushurutisha tukupe likes ili uwe una dini hivi una akili wewe?

Baki na ulichochagua tusilazimishane

Unaweza kua na dini haya imani yako nayo?

Mkuu,
Sina vyote dini na imani.
 
Unaposema huna dini ina maana una imani ya kutoamini dini sasa unataka nini?
 
Unaposema huna dini ina maana una imani ya kutoamini dini sasa unataka nini?

Ndiyo nahitaji likes zenu zaidi ya 10000 ili zinihamasishe .

Ila bila likes 10,000+ Basi sitajiunga aiseeeeeh.
 
Jf likes 10,000+ ulishaziona kwenye uzi upi?
 
unacheza tu na akili za watu we huwezi kushawishika dini ya kuabudu kwasababu ya likes, umeamua kutuchangamsha tu.

Mmmmh

Kwa hiyo, nawe utaniacha bila like na Msaa!?.
 
Ndiyo nahitaji likes zenu zaidi ya 10000 ili zinihamasishe .

Ila bila likes 10,000+ Basi sitajiunga aiseeeeeh.
Unataka kujiunga dini ili iweje sasa?
 
Mrembo, acha hivyo.

Yaani zitanipa motivation ya kujiunga na dini.

Ujue hadi sasa hakuna like hata moja Kwa hiyo, wana JF hawataki nijiunge dini.
[emoji3][emoji3]ndo ujue umeandika ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…