Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila la heriDuuuuuuuuh, sasa mkuu nita-comment 10,000 times!!!!
hahahahahahahaha !!Duuuuuuh, mkuu asante, japo umekataa kuiweka.
Basi pokea like mubashara kabisa
Kwa likes tu ndo ufanye maamuzi magumu hivyo?Duuuuuuh
Paprika,
Unamaanisha nini tena !?
Mi sina KINYONGO na wewe...
Ila ungetoa taarifa kwa KIONGOZI wako Mzee KINGUNGE.....maana wote wasio na DINI wanawakilishwa na huyo Mzee..
Ajue kuwa unataka kuingia kwenye DINI rasmi, akupe baraka zake.
Kama unaukubali huu ushauri nipe LIKE, ili nami nikupe Like, uweze kuendelea na MCHAKATO...