Wana-JF, Msaada

Wana-JF, Msaada

Naona hujaambulia like hata moko. Pole sana
 
Kwa sasa hata sielewi aiseee.
Nitaelewa cha kufanya nikishakuwa humo kwenye dini.
Ulishaingia sema tu wewe hujui kama una dini tayali.
Au unatafuta dhehebu mkuu? Dhehebu halitakusaidia bora tu ubaki ma dini hiyo uliyonayo!
 
Ulishaingia sema tu wewe hujui kama una dini tayali.
Au unatafuta dhehebu mkuu? Dhehebu halitakusaidia bora tu ubaki ma dini hiyo uliyonayo!

Duuuuh...

Sina vyote hivyo.
 
Mkuu, Enjai ya kyasha!!

Asante sana. Popote pale ulipo pokea Shukurani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom