Wana-JF, Msaada

Wana-JF, Msaada

Hahaha manina watu wanapenda likes eeh?
Tutakutana motoni mbuzi wewe
 
Sio lazima ww kuwa na Dini,baki na upagani,hata ukiwa na Dini hutakuwa na faida yeyote.
 
Watu wabaya sana...
Wamemkausha member anayetafuta ma-likes na ma-followers...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc: mahondaw
 
Mi sina KINYONGO na wewe...
Ila ungetoa taarifa kwa KIONGOZI wako Mzee KINGUNGE.....maana wote wasio na DINI wanawakilishwa na huyo Mzee..

Ajue kuwa unataka kuingia kwenye DINI rasmi, akupe baraka zake.

Kama unaukubali huu ushauri nipe LIKE, ili nami nikupe Like, uweze kuendelea na MCHAKATO...
 
Watu wabaya sana...
Wamemkausha member anayetafuta ma-likes na ma-followers...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc: mahondaw

Aiseeeeh
Watu wabaya sana .
Nawe pia ni mutu mubaya Sana Kama mutu us Congo Kishansha .

Nangonjea 'mahondaw' nione Kama atanipea like.
 
Mi sina KINYONGO na wewe...
Ila ungetoa taarifa kwa KIONGOZI wako Mzee KINGUNGE.....maana wote wasio na DINI wanawakilishwa na huyo Mzee..

Ajue kuwa unataka kuingia kwenye DINI rasmi, akupe baraka zake.

Kama unaukubali huu ushauri nipe LIKE, ili nami nikupe Like, uweze kuendelea na MCHAKATO...

Haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh Haaa.
Nimecheka Sana aiseee.

Pokea like mubashara kabisa
 
Kwa likes tu ndo ufanye maamuzi magumu hivyo?

Paprika,
Binafsi sielewi kwani kuingia kwenye dini ni maamuzi magumu?

Duuuuuuh, mbona naanza kuogopa tena!!!
 
Back
Top Bottom