LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
ngoja nisichangie nisije nikaitwa mnafiki!!
Chwechwe hilo ri avator, mbona rinatisha, namna hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nisichangie nisije nikaitwa mnafiki!!
Chwechwe hilo ri avator, mbona rinatisha, namna hiyo.
picha y invisible hiyo amenlazimisha nimweke nicpomweka atanipiga ban.
Mmmmh shauri yako,
Hilo jina mi hata kulitaja sithubuthu.
Wewe unaleta utani.
Ukikamatwa mi sipo.
JF ni proportion ndogo sana ya watanzania. members wa JF ni kama 30,000. Watanzania watu wazima tupo kama 20,000,000 (ukiacha watoto).
30 000/20 000 000 x 100% = 0.15%
kwa hiyo inawezekana kabisa wana JF wote wakawa watu safi..hahah..
Any way, kila mtu na mawazo yake. kama wote wanaona hivyo, huwezi kuwalazimisha waone vingine.
Kuna wengine wengi tu wamefaidika na wanaendelea kufaidika na ushauri wanaoupata hapa jamvini
Kwani mwizi hawezi kukushauri usiibe?
heheheehe
Ni kweli The Boss unayosema kabisa, na mtu akisema ukweli siku zote anaonekana mbaya ila yule anayeficha mabaya yake bila kusema watu watamwona siku zote ni mtu mzuri kumbe sumu, ngoja niwaambie ndugu zangu, hakunakitu kizuri kama kumjua mtu kwa kila kitu, yaani upande wake mzuri sana na mbaya sana,hii itakufanya ujue kama unataka awe rafiki yako umchukulie vipi.kuna wengine wanapenda wapate wake au waume yaani bado hawajafunga ndoa basi utakuta mtu anajibana kuchangia ili asiharibu cv yake just in case akikutana na mtarajiwa wake humu
Aisee mimi wala sipendi unafiki na ndio maana majibu yangu mengi kwenye posts zangu huwa yana mifano hai na sina haya kujielezea mabaya na mazuri niliyopitia
watu wengi humu ni waoga sana
they fear to be themselves....
mwisho wake hata kama mtu ana tatizo hawezi kuomba asaidiwe
sababu anaona watu watamshutumu.....
The Boss, wanajamiiforum wanakunena wewe nani?
Na wewe unajinena ni nani?
Boss bana!Watu wanakuwa wa kwanza kuponda....na kushutumu....hadi watu watakuwa hawaji ku confess hapa.....
JF ni proportion ndogo sana ya watanzania. members wa JF ni kama 30,000. Watanzania watu wazima tupo kama 20,000,000 (ukiacha watoto).
30 000/20 000 000 x 100% = 0.15%
kwa hiyo inawezekana kabisa wana JF wote wakawa watu safi..hahah..
Any way, kila mtu na mawazo yake. kama wote wanaona hivyo, huwezi kuwalazimisha waone vingine.
Kuna wengine wengi tu wamefaidika na wanaendelea kufaidika na ushauri wanaoupata hapa jamvini
je wewe unafall kwenye kundi gani? usipende kuhukumu wenzako wakati wewe mwenyewe ni tatizo ndani ya hii jamii ya JFNimekuwa najiuliza hili swali....
je wana jf walio wengi ni wasafi zaidi kimatendo au ni unafiki humu ndo unatawala????
mfano mtu akipost thread inayohusisha na kutoka nje ya ndoa....
asilimia 95 ya wana jf watamponda sana na kumlaumu kuliko
watakaomsaidia as if hao wanaoponda ni wasafi sana.....
mfano mwingine ni thread zinazohusu waganga wa kienyeji....
kila mtu humu ndani ataponda hadi mwisho maswala ya waganga wa kienyeji
cha ajabu ni kuwa kama wana jf ni sehemu ya watanzania...
na watanzania sasa hivi inasemekana ndio tunaongoza duniani kwa imani a kishirikina na mpaka kuwa nchi inayoongoza kwa duniani kwa kuuwa albino na vikongwe kwa ushirikina.......je kama wana jf wote ni wasafi......
hao wanao shiriki ushirikina ni kina nani?
mimi siamini kama watu humu ni wakweli,mimi naona kama unafiki ndo unatawala...
ushauri wangu badala ya kuwashutumu na kuwaponda watu
wanaokuja kukiri matatizo yao humu...ni vizuri tukawa kwanza tuna wa incourage
hao watu na wengine wakawa more open ili tuweze jifunza wote kwa pamoja...
TUACHE KUSHUTUMU NA KUPONDA WATU WANAPO CONFESS HAPA....
tuache unafiki.....
BOSS.
Mkuu nimepitia posts zako nyingi sana baada ya hii threadwatu wengi humu ni waoga sana
they fear to be themselves....
mwisho wake hata kama mtu ana tatizo hawezi kuomba asaidiwe
sababu anaona watu watamshutumu.....