Wana jf ni wasafi zaidi au wanafiki zaidi??????????

Wana jf ni wasafi zaidi au wanafiki zaidi??????????

JF ni sample tosha ya watu walio ndani ya jamii! Hivyo, kuna watu wa kila aina humu. Wasafi, wachafu, wala rushwa, washirikina nk. Kuna baadhi wanaoangalia upepo wa thread unakoelekea nao wakaelekea huko na hii haina maana wako hivyo bali kufuata mkumbo tu ili hali wao hawako kama wanavyo jadili mada.. Eg unaweza kukuta mtu akipinga ulevi wakat yeye hashikiki ndani kwa ulevi uliokithiri nk
 
picha y invisible hiyo amenlazimisha nimweke nicpomweka atanipiga ban.

Mmmmh shauri yako,
Hilo jina mi hata kulitaja sithubuthu.
Wewe unaleta utani.
Ukikamatwa mi sipo.
 
Mmmmh shauri yako,
Hilo jina mi hata kulitaja sithubuthu.
Wewe unaleta utani.
Ukikamatwa mi sipo.

Nimeshaitoa bana.mana nimepokea PM nyingi wakisema wamenidhimia kisa ile bunduki yake!!!
 
JF ni proportion ndogo sana ya watanzania. members wa JF ni kama 30,000. Watanzania watu wazima tupo kama 20,000,000 (ukiacha watoto).

30 000/20 000 000 x 100% = 0.15%

kwa hiyo inawezekana kabisa wana JF wote wakawa watu safi..hahah..
Any way, kila mtu na mawazo yake. kama wote wanaona hivyo, huwezi kuwalazimisha waone vingine.
Kuna wengine wengi tu wamefaidika na wanaendelea kufaidika na ushauri wanaoupata hapa jamvini

katika haohao members 30,000 sio wote wanaochangia thread. Inawezekana wasafi tunachangia wachafu wanachapa lapa.
 
Ni kweli The Boss unayosema kabisa, na mtu akisema ukweli siku zote anaonekana mbaya ila yule anayeficha mabaya yake bila kusema watu watamwona siku zote ni mtu mzuri kumbe sumu, ngoja niwaambie ndugu zangu, hakunakitu kizuri kama kumjua mtu kwa kila kitu, yaani upande wake mzuri sana na mbaya sana,hii itakufanya ujue kama unataka awe rafiki yako umchukulie vipi.kuna wengine wanapenda wapate wake au waume yaani bado hawajafunga ndoa basi utakuta mtu anajibana kuchangia ili asiharibu cv yake just in case akikutana na mtarajiwa wake humu
Aisee mimi wala sipendi unafiki na ndio maana majibu yangu mengi kwenye posts zangu huwa yana mifano hai na sina haya kujielezea mabaya na mazuri niliyopitia
 
everyone is in title to there opinion ...

kwa mimi naona kuna mchangaanyiko wa vyote...
ndo maana JF inaendelea na mimi na wewe tunapata cha kuongelea
kama hii thread isinge anzishwa kama sisi hatuko hivyo..
imagine kama tuna kubaliana kila kitu ..
mmmhhh is gona be really boring ...
kwa hiyo tunahitaji watakatifu, ambao wanajifanya watakatifu na wasio watakatifu,...
Amen ..
 
Ni kweli The Boss unayosema kabisa, na mtu akisema ukweli siku zote anaonekana mbaya ila yule anayeficha mabaya yake bila kusema watu watamwona siku zote ni mtu mzuri kumbe sumu, ngoja niwaambie ndugu zangu, hakunakitu kizuri kama kumjua mtu kwa kila kitu, yaani upande wake mzuri sana na mbaya sana,hii itakufanya ujue kama unataka awe rafiki yako umchukulie vipi.kuna wengine wanapenda wapate wake au waume yaani bado hawajafunga ndoa basi utakuta mtu anajibana kuchangia ili asiharibu cv yake just in case akikutana na mtarajiwa wake humu
Aisee mimi wala sipendi unafiki na ndio maana majibu yangu mengi kwenye posts zangu huwa yana mifano hai na sina haya kujielezea mabaya na mazuri niliyopitia

watu wengi humu ni waoga sana
they fear to be themselves....
mwisho wake hata kama mtu ana tatizo hawezi kuomba asaidiwe
sababu anaona watu watamshutumu.....
 
watu wengi humu ni waoga sana
they fear to be themselves....
mwisho wake hata kama mtu ana tatizo hawezi kuomba asaidiwe
sababu anaona watu watamshutumu.....

Ni kweli kabisa, mficha u... hazai
 
The Boss, wanajamiiforum wanakunena wewe nani?

Na wewe unajinena ni nani?

Namnena kama member anaesema ukweli asiependa unafiki, hapa kila mtu akiwa muwazi kuna utacheka sana.kuna member mmoja ambae mie najua ID yake huwa nawakuta na member wengine mahala fulani huwezi amini hapa comment zake na yale anayofanya pale mahala huwa nacheka sana.Na wao ndio walionifanya niamue kujiunga ili niweze kumsoma vizuri lol???acha hizo dem. big up The Boss
 
THE BOSS, kwa maoni yangu si unafiki. Kama unavyofahamu BOSS asilimia kubwa ya binadamu wana mapungufu mbali mbali na hata katika mahusiano yao ndani ya ndoa zao ikiwemo pia Great Thinkers (GTs). Hivyo Great Thinker (GT) anapotoa ushauri kwa yule aliyekuja kuomba ushauri mara nyingi anatoa ushauri wa kujenga badala ya kubomoa. Kwa mfano kuna mdada hapa ambaye alitwambia kwamba ana umri wa miaka 48. Huyu dada alidai kwamba mumewe kutokana na matatizo aliyonayo ya kisukari amekuwa hawezi tena kufanya tendo la ndoa kiasi ambacho huyo dada amefikiria kutafuta kizerengeti kwa siri ili kimsaidie huyo dada ili naye ajisikie sikie. Kama ulivyooona wengi waliompa ushauri walijaribi sana kumsihi ili asiyafuate matamanio ya mwili wake na pia akumbuke kiapo cha ndoa ndoa yake. Haina maana kwamba wote waliompa ushauri ni wasafi kihivyo katika wa ndoa zao au mahusiano mengine bali walitoa ushauri wa kujenga badala ya kubomoa. Pia wakati mwingine wanatoa ushauri wa kuepuka mateso makubwa mtu anayoyapata ndani ya ndoa yake au mahusiano ya aina nyingine kama vila dharau, vipigo n.k. ili kunusuru afya ya mhusika na si ajabu hata maisha yake.

Hivyo kwa upande wangu siwezi kusema kwamba kufanya hivyo ni unafiki maana pamoja na mapungufu yetu kama binadamu siku zote tunapoombwa ushauri basi tunatakiwa tutoe ushauri wa kujenga au kumsaidia muhusika ili aepuke vishawishi alivyokuwa navyo au mateso yanayomkabili ndani ya maisha yake kwa namna moja au nyingine.
 
JF ni proportion ndogo sana ya watanzania. members wa JF ni kama 30,000. Watanzania watu wazima tupo kama 20,000,000 (ukiacha watoto).

30 000/20 000 000 x 100% = 0.15%

kwa hiyo inawezekana kabisa wana JF wote wakawa watu safi..hahah..
Any way, kila mtu na mawazo yake. kama wote wanaona hivyo, huwezi kuwalazimisha waone vingine.
Kuna wengine wengi tu wamefaidika na wanaendelea kufaidika na ushauri wanaoupata hapa jamvini

I agree, and not only that but also JF can not be taken as a representative sample of Tanzanians as a whole! JF represents a certain segment of Tanzanians i) ones who have access to internet ii) a significant proportion would be learned or in learning institutions iii) earn more than the average population iv) live mainly in towns a s opposed to villages v) predominantly young 20s-40s, vi)Majority will hold western 'leaning views' and so on. As such i would not be surprised if their views differ significantly from the general population particularly with regards to witchcraft!!
 
Nimekuwa najiuliza hili swali....

je wana jf walio wengi ni wasafi zaidi kimatendo au ni unafiki humu ndo unatawala????

mfano mtu akipost thread inayohusisha na kutoka nje ya ndoa....

asilimia 95 ya wana jf watamponda sana na kumlaumu kuliko
watakaomsaidia as if hao wanaoponda ni wasafi sana.....

mfano mwingine ni thread zinazohusu waganga wa kienyeji....
kila mtu humu ndani ataponda hadi mwisho maswala ya waganga wa kienyeji

cha ajabu ni kuwa kama wana jf ni sehemu ya watanzania...
na watanzania sasa hivi inasemekana ndio tunaongoza duniani kwa imani a kishirikina na mpaka kuwa nchi inayoongoza kwa duniani kwa kuuwa albino na vikongwe kwa ushirikina.......je kama wana jf wote ni wasafi......

hao wanao shiriki ushirikina ni kina nani?

mimi siamini kama watu humu ni wakweli,mimi naona kama unafiki ndo unatawala...

ushauri wangu badala ya kuwashutumu na kuwaponda watu
wanaokuja kukiri matatizo yao humu...ni vizuri tukawa kwanza tuna wa incourage
hao watu na wengine wakawa more open ili tuweze jifunza wote kwa pamoja...

TUACHE KUSHUTUMU NA KUPONDA WATU WANAPO CONFESS HAPA....
tuache unafiki.....
BOSS.
je wewe unafall kwenye kundi gani? usipende kuhukumu wenzako wakati wewe mwenyewe ni tatizo ndani ya hii jamii ya JF
 
watu wengi humu ni waoga sana
they fear to be themselves....
mwisho wake hata kama mtu ana tatizo hawezi kuomba asaidiwe
sababu anaona watu watamshutumu.....
Mkuu nimepitia posts zako nyingi sana baada ya hii thread

Nakushauri ukazisome tena ili ujue na wewe ulivyo mnafiki
 
The Boss,

Kitu cha msingi nikwambie, kuongea, kusema, kuandika ni vitu tofauti kabisa na kutenda ni hayo tu
 
Back
Top Bottom