Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Kiherehere Chako kufikiri CCM ina CV
Hatimaye CV yako imefika TISS na Ikulu kwa malipo ya laki 1 tu, hongera sana.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Pascal Mayalla,
Mwana mkaidi hapewi pole.
Karibu tuendeleze mijadala yenye afya hapa JF. Tactic yako ya kujipendekeza kwa kumsifia Jiwe na kujipendekeza CCM is not working. Go back to the young YOU; Achana na kusifia sifia na kuabudu.
Ndiyo ujue kuwa ulitakiwa kushukuru tu kwa kurudishiwa press card yako tu, hayo mengine uwaachie kina KatambiView attachment 1513378
Pascal hakusoma alama za nyakati tangu day one alipo ambiwa kuwa Mayalla ni njaa kwa kisukuma
Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.
#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)
Na Kwa sasa anaishi Dar es salaam
Mtoto wa dada yake Rais MAGUFULI.View attachment 1512951
Unakubalije matokeo kwa Kusema CCM Ina wenyewe hicho ni kinyongo we kubali kwa moyo mmoja kuwa wenzako wameona hutoshi.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mkuu Pascal Mayalla pole kwa matokeo na hongera kwa kujaribu. Juzi Jumamosi katika kipindi cha jicho letu katika Habari cha Star Tv ulitangaza kustaafu uandishi wa habari. hata hivyo nakuomba ubadili nia yako na kurejea katika kipindi husika. Nitafurahi kama utatushirikisha uzoefu ulioupata kwa kushiriki katika huu uchaguzi.
Na kweli kipindi cha uchaguzi ni fursa
Mana matukio nu mengi sana nchi nzima
Ahsante
Mkuu, kila kitu kina sayansi yake inayoongoza. Usikate tamaa, ushubutu ni Jambo jema zaidi.Wanabodi,