Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mashinji hajawahi kuwa mwanasiasa makini.Pascal Mayalla kasema kapata kura 0 sasa hiyo moja mmeitoa wapi dk Vincent Mashinji ndo kapata kura 2.
Niliwashangaa CDM na namshangaa yeye mweyewe kutotambua nafasi yake kwenye boksi la ushindani wa kura.
Kule CDM ilikuwa nguvu ya Mbowe tu iliyomuweka kwenye ukatibu mkuu.