Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Pascal Mayalla kasema kapata kura 0 sasa hiyo moja mmeitoa wapi dk Vincent Mashinji ndo kapata kura 2.
Mashinji hajawahi kuwa mwanasiasa makini.
Niliwashangaa CDM na namshangaa yeye mweyewe kutotambua nafasi yake kwenye boksi la ushindani wa kura.

Kule CDM ilikuwa nguvu ya Mbowe tu iliyomuweka kwenye ukatibu mkuu.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
😀😀😀
Pole sana mkuu yani hadi mimi nimekushinda kwa kupata kura nyingi.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Umevuna ulichopanda, haiwezekani Tundu lissu ashambuliwe kwa SILAHA ZA KIVITA namna ile kisha uje hapa kutetea WAHALIFU tena kwa hoja za KEJELI. Shetani hana rafiki, iko hivyo mdogo wangu paskali.
 
Ninaamini pale ukumbini tulikuwepo wanajf wengi japo hatufahamiani lakini tulichomtendea mwanabodi Pascal Mayalla siyo fair kabisa.

Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika nilijua Pascal hawezi kupata kura 0 kwa sababu nilimpigia lakini sikujua kuwa hiyo ndio kura pekee.

Chadema wa hapa Jf wanapigana kampani hadi kwenye chaguzi lakini wana Lumumba sijui tunafeli wapi?

Nimekereka sana.

Maendeleo hayana vyama!
Uchakachuaji si ndio sera yenu.
 
Kick uliyotumia bado inakubeba subiri uteuzi,nadhani ulimuelewa Mwenyechair alisema CV zenu sasa ziko jikoni
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mtu wa kaliba yako kweli ukaingia na gia ya kugawa hela? You're smarter than this.
 
Pole kiongozi hiyo ndo CCM kuna waziri wa habari fulani alitolewa bastola kweupe kwa vile alitaka kueleza ukweli juu ya uchunguzi, akaonesha makovu jinsi alivyokipigania chama chake.
 
Acha unafiki. Pole ya nini ilhali alichukua maamuzi yasiyo na busara? Huyo Pasco ni mnafiki mkubwa na amevuna alichopanda. Sio huyu ambaye kila siku anahadaa hapa kuwa "hana upande" kumbe ni MATAGA? I hope he fails in his life too!

Umeona nimempa pole?
 
Back
Top Bottom