Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Teh teh teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu uzi unafurahisha sana, hivi ile ahadi yako ya million 100 kwa Ccm uliitimiza?...
 
Teh teh teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu uzi unafurahisha sana, hivi ile ahadi yako ya million 100 kwa Ccm uliitimiza?...
Yes niliattach cheque. Wakati mtu unajipinda unakopa TZS 100M kukichangia chama chako pesa iingie chamani na kwenda kwenye miradi ya maendeleo, wenzako wenye kisu kikali, wanachangia hadi ma B!. kila mjumbe anakatiwa fungu nene!. What do you expect?.
P
 
Yes niliattach cheque. Wakati mtu unajipinda unakopa TZS 100M kukichangia chama chako pesa iingie chamani na kwenda kwenye miradi ya maendeleo, wenzako wenye kisu kibali, wanachangia hadi 1B!. kila mjumbe anakatiwa fungu nene!. What do you expect?.
P
Teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani Ccm imefikia huko?... anyway siasa inahitaji uwekezaji...jipange upya unaweza ukapata ikibidi tafuta 'connection' ( kwako ni rahisi kupata maana unafahamika) na wanasiasa wakubwa wenye nyadhifa.

Ila mkuu kuwapa Ccm 100 million alafu usipate chochote kutoka kwao umekosea sana boss ni sawa na umetupa hela yako, bora ungeifanya ' pension' ule maisha.
 
Hivi kweli wewe ni CCM ni opportunistic ukiangalia wapi penye MLO
 
Sawa pole mtani wangu Pascha.Lakinii Paschal kwani wewe hukujua kwamba CCM ina wenyewe? Tena wewe uliyekuwa reprimanded Dodoma,sahau.Wenyewe ni akina Kikwete na sasa Samia,Kinana,Makamba,Nape,marafiki zao,maswahiba wao na ndugu zao,wewe utaonekana wapi?Tafuta ugali wa watoto wako ridhika!Tamaa za Fisi zitakuponza.
 
We mzee huwa unajitoa ufahamu sijui kwann
Unashindwa hata kujifanyia analysis upo kundi gani
Tulikwambia kama kinana aujk hakujui na anakuchukia hutoboi

Sasa wewe mapambio yako mara Samia mara nini grow up unajiabisha
 
Tangu Pascal Mayalla apate kura moja Kawe huwa namuona Kama comedian. Unashauri watu mambo ya siasa wakati wewe ni failure kwenye siasa?.
Mkuu econonist , hili mbona niliisha likubali siku nyingi na kujitokeza kuwaomba msinicheke wala msinibeze, mbona bado naendelea kunibeza?.
P.
 
Mkuu eti hadi Mwijaku alipata kura nyingi zaidi yako ?πŸ’
Tulikuwa wagombea 176, kwa kumbukumbu yangu kuna wagombea maarufu kuliko mimi, matajiri wakubwa, na wengine walikuwa viongozi hadi Mwenyekiti wa CCM wa mkoa, waliambulia kura 0!, akiwemo huyo chawa!.

Ila pia kwenye ugombea, sometimes ni umaarufu wa mtu, naweza kugombea kitu na Joti, nikashidwa!.
P
 
Wale washkaji mlikuwa mnapiga bia pamoja, mke, watoto, ndugu, marafiki, wote wameona hautoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…