Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Mkuu Pascal Mayalla labda ugombee ubunge ndani ya JF ndio wanakufahamu? Huko kwingine unapoteza tu muda kwa kuwa wajumbe hawapiti huku JF ambako unajulikana. Pole tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunga sentensi moja kwa kuanza na neno wajumbe
Dhambi ya usaliti wa Erick Kabendera inakutafuna
wajumbe wajumbe wajumbe
FURAHA MWANAUKOMEEEEEWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!, na wenyewe wenyewe ndio sisi, mimi nikiwemo!. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.
Pili despite the facts ni njia gani walizotumia kushinda, the end justifies the means, nawapongeza kwa dhati washindi wote,
Na tatu hili nilisema kwa moyo wangu, sina kinyongo chochote kushindwa, naahidi ushirikiano, na ile ahadi ya kutoa TZS Milioni 100 kwa CCM, nitaitimiza kupitia fund raising na sio kutoka mfukoni kwangu, hivyo naahidi ushirikiano wa dhati na kuendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM.
Nipeni tu pole!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
CCM Oye!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Uchaguzi 2020 - Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?
Uchaguzi 2020 - Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

Wanabodi,

Mkuu Fundi, mimi ni mwana jf mwenzenu, nimejaribu, nimeshindwa, nikaleta bandiko humu kuwaomba msinicheke, msinibeze, bali nipeni pole kwa kushindwa bali pia nipongezeni kwa kujaribu!.Ulipata vip kura moja kwenye kura za maoni kwa nini ulipata kura moja tu!?
Wewe Ulishindwa vipi kuwa shawishi wajumbe ambao hawaja zidi ata 500!
PWanabodi,