Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Mkuu Pascal Mayalla labda ugombee ubunge ndani ya JF ndio wanakufahamu? Huko kwingine unapoteza tu muda kwa kuwa wajumbe hawapiti huku JF ambako unajulikana. Pole tena
 
Pole Mkuu njaa. Kama hukuwa mjumbe basi ulipata 1. Lakini kama ulikuwa mjumbe basi hesabu una 0. Anyway narudia POLE na hongera wengine wana zero
 
Sina chama ila mm nazungumzia masilai ya Taifa ila Pascal ccm co chama kibaya ila Wajumbe ndio wabaya by Steve Nyerere
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!, na wenyewe wenyewe ndio sisi, mimi nikiwemo!. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.

Pili despite the facts ni njia gani walizotumia kushinda, the end justifies the means, nawapongeza kwa dhati washindi wote,

Na tatu hili nilisema kwa moyo wangu, sina kinyongo chochote kushindwa, naahidi ushirikiano, na ile ahadi ya kutoa TZS Milioni 100 kwa CCM, nitaitimiza kupitia fund raising na sio kutoka mfukoni kwangu, hivyo naahidi ushirikiano wa dhati na kuendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM.

Nipeni tu pole!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
CCM Oye!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata

Uchaguzi 2020 - Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

Uchaguzi 2020 - Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?
FURAHA MWANAUKOMEEEEE
KHA
KAKA YUKE HATA DK TATU AJAFIKISHA
KACHIA MAIKI
CCM OYEEEEEEEE
RIP BWM
 
KAKA YULE HATA DK TATU AJAFIKISHA
KAACHIA MAIKI NA USHINDI JUU DOH
CCM OYEEEEEEEE
RIP BWM
 
MPWAANIKUPONGEZEEE UNA MOYOOO
YAANI NILITAKA CHUKUA FOMU NILIVYOONA HADI WAGANGA WAKIENYEJI WAMO NKAOTA NIKO NA MAMAYANGU AHERA SIKURUDI TENA OFISI YA CCM
ULIJIPANGA KWELI MKUU
 
ZAMANI nilisikiatu mjumbe auwawi
mwaka HUU nimelewa sanaa
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!, na wenyewe wenyewe ndio sisi, mimi nikiwemo!. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.

Pili despite the facts ni njia gani walizotumia kushinda, the end justifies the means, nawapongeza kwa dhati washindi wote,

Na tatu hili nilisema kwa moyo wangu, sina kinyongo chochote kushindwa, naahidi ushirikiano, na ile ahadi ya kutoa TZS Milioni 100 kwa CCM, nitaitimiza kupitia fund raising na sio kutoka mfukoni kwangu, hivyo naahidi ushirikiano wa dhati na kuendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM.

Nipeni tu pole!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
CCM Oye!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata

Uchaguzi 2020 - Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

Uchaguzi 2020 - Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

Mkuu mabandiko yako yamekuponza. Unajua kabisa wajumbe ni std saba, kila wakisoma mabandiko yako wanaona ni kama ya upinzani, ulidhani wangekupa kula?
 
[SUP]HAOOO BANA AWAN MÀKUU ZAIDI YA PENI NANKARATASI [/SUP]
[SUP]UTAWAPENDA
Screenshot_20200726-125808.png
[/SUP]
 
Ulipata vip kura moja kwenye kura za maoni kwa nini ulipata kura moja tu!?
Wewe Ulishindwa vipi kuwa shawishi wajumbe ambao hawaja zidi ata 500!
Mkuu Fundi, mimi ni mwana jf mwenzenu, nimejaribu, nimeshindwa, nikaleta bandiko humu kuwaomba msinicheke, msinibeze, bali nipeni pole kwa kushindwa bali pia nipongezeni kwa kujaribu!.
Kiukweli kushindwa kokote kunauma, ila kushindwa kwa kukataliwa kunauma zaidi, ila mimi ni mkomavu na mshindani wa kweli, asiyekubali kushindwa sio mshindani, tayari nimeisha tibu maumivu ya kushindwa, sasa tuko kwenye kampeni, tunawaunga mkono wale wote waliopitishwa na chama.

Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
P
 
Back
Top Bottom