Mkuu nilipoteza password sasa mods waliniambia tumetuma password kwenye email yako kasheshe ilianza hapoUlipatwa na nini uka change!! Wasaidie na wengine!
Nilikuwa na ID nyingine then
Mkuu nilipoteza password sasa mods waliniambia tumetuma password kwenye email yako kasheshe ilianza hapo
Mzuri .....na hongera kwa kazi na maoni yako bila kusahau msimamo wako.
Napenda sana maneno unayotumia mara nyingi huwa ni rafiki kwa watumiaji wengine.
Unatumia domain gani ya email....ushauri wangu kama bado unakumbuka username wewe log in na hiyo username then Kuna sehemu yameandikwa forgotten password click hapo then utapokea ujumbe kwenye email as notification ya kuweka password mpya then utakuwa ume access ID yako ya zamani.Just try it.Ila email ni ile uliyotumia wakati unafungua ID yakoMkuu nilipoteza password sasa mods waliniambia tumetuma password kwenye email yako kasheshe ilianza hapo