kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Karibuni sana!Tunakuja Chief
labda udaktari wa sheria[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umepigwa na kitu kizito kichwani, udsm hakuna hiyo fani ya udaktari!
Pengine!labda udaktari wa sheria[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana ni mwanachuo wa udaktari pale Mlimani. Hajanidanganya, na yupo na rafiki yake. Wote wasomi.Anakujaza tu,huyo muuza nyama kama wengine.hakuna msomi hapo.
Wewe ndio hujui!Umepigwa na kitu kizito kichwani, udsm hakuna hiyo fani ya udaktari!
ni kweli amepigwa ila hiyo fani UDSM ipo, ingawa hawasomei Dar na wala hawafanyii mafunzo yao Dar, wanasomea campus ya Mbeya na wanajifunzia katika hospitali ya rufaa ya MZRH (Mbeya Zonal Referral Hospital) hiyo campus yao ipo chini ya UDSM.Umepigwa na kitu kizito kichwani, udsm hakuna hiyo fani ya udaktari!
Nipo hapa jirani Lunch Time nitakaribia muda sii mrefuKaribuni sana!
Duh! Usilojua ni usiku wa giza. But anyway! Kuna kitu inaonekana nilikuchana kimekuuma. Sasa jana ulirudi asubuhi na mm ni wapi na wapi? Huyo ni jamaa yangu humu JF na nafuatilia mno quotes zake.ni kweli amepigwa ila hiyo fani UDSM ipo, ingawa hawasomei Dar na wala hawafanyii mafunzo yao Dar, wanasomea campus ya Mbeya na wanajifunzia katika hospitali ya rufaa ya MZRH (Mbeya Zonal Referral Hospital) hiyo campus yao ipo chini ya UDSM.
All in all, ukifuatilia kwa umakini nyuzi za mtoa mada utagundua jamaa ni attention seeker tu au ni mtu ambae yuko frustrated sana and his only way to overcome stresses zake za maisha ni kuja kuanzisha nyuzi za mizaha mizaha JF. Sie tunaomfaham tumeshamzoea na tunamchukulia poa tu. Ana ID yake nyingine humu anajiita Jana Ulirudi Usiku
Ni fantasies tu.. Hakuna faida yoyote ila mtu anakua na ile furaha ndani yake kutokana na kufatiliwa mno kupitia threads za vituko anazoweka hata kama atakua na anonymous ID.. It's a personality thing! Kuna bwana mmoja alishawekaga humu uzi unaozungumzia personality mbali mbali nadhani nikiuona ntauibua kwa faida ya wengine.Sasa attention seekers wanafaidikaje na hizi anonymous accounts?
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app