kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Za muda huu folks
Nipo hapa TipTop kupata japo bia mbili tatu na weekend hii, sio mbaya wadau walio karibu na hapa tukionana. Hata walio ndani sio mbaya.
Lengo ni kufurahi na kupeana mawazo ya biashara, na ya maisha kwa ujumla wake. Binafsi nimefurahi na nipo na mtoto wa hapo UDSM ameniambia anasomea udaktari.
Nimemuopoa hapa hapa mida ya saa 1 jioni nilipokuja. Muonekano wangu nimevaa suruali ya 'truck', viatu vya 'Air Jordans', mzula wa kijivu na koti la suti jeusi. Nimewaka kiasi chake (napenda kupendeza).
Karibuni wadau tubadilishane mawazo.
Nawasalimu!