WANA JF TUTAKIANE KHERI YA MWAKA MPYA.....

Wanapaswa JF wote nawatakia Heri ya mwaka mpya 2016. Wale wanaotoa majina ya miaka wameupa jina gani? Nimgeupa jina la Akawe kawe
 
Happy new year to you both brother and sisters
 
Nawatakia HERI YA MWAKA MPYA nyote mnaosoma uzi huu! Naanza mwaka na mguu wa kulia, DSM - ABU DHABI - NEW DELHI huku ETIHAD inahusika, ahsante OS kwa kibali!
Kumbe umepata?Hongera kaka.
Kheri ya mwaka mpya iwe nawe pia.
 
Nami nawatakia mwaka mpya wenye mafanikio zaidi kikubwa tumtangulize mungu ktk Mambo yetu Kwani yeye ndo kila Kitu kwetu
 
Shukrani za dhati zikufikie hapo ulipo. Heri ya mwaka mpya kwako pia sambamba kabisa na @aretasludovick, @Bennie 369 pamoja na @NDUKI sio kwa kupotea huko mkuu

Heri ya mwaka mpya kwa wana JF woote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…