Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Mkuu @peterchoka na uwe salama na Wewenakutakia heri ya mwaka mpya ndugu @KikulachoChako bila kumsahau dada yangu wa dhati kabisa @habari ya hapa, endapo tutavuka salama basi uwe mwaka wa baraka sana, bila kumsahau mwanangu mwenyewe @Th Name @ibra87, kaka mkubwa @mshana jr, watu wangu wa nguvu @Jimena @bennie369 @areta @einstien newton, bila kumsahau dada lake @nifah, BLESSED
Kumbe umepata?Hongera kaka.Nawatakia HERI YA MWAKA MPYA nyote mnaosoma uzi huu! Naanza mwaka na mguu wa kulia, DSM - ABU DHABI - NEW DELHI huku ETIHAD inahusika, ahsante OS kwa kibali!
Asante ndugu,pamoja sana.nakutakia heri ya mwaka mpya ndugu @KikulachoChako bila kumsahau dada yangu wa dhati kabisa @habari ya hapa, endapo tutavuka salama basi uwe mwaka wa baraka sana, bila kumsahau mwanangu mwenyewe @Th Name @ibra87, kaka mkubwa @mshana jr, watu wangu wa nguvu @Jimena @bennie369 @areta @einstien newton, bila kumsahau dada lake @nifah, BLESSED
Haaaa. Haaaa. Haaa. Thanks. Happy New Yr my dadaKumbe umepata?Hongera kaka.
Kheri ya mwaka mpya iwe nawe pia.
Shukrani za dhati zikufikie hapo ulipo. Heri ya mwaka mpya kwako pia sambamba kabisa na @aretasludovick, @Bennie 369 pamoja na @NDUKI sio kwa kupotea huko mkuunakutakia heri ya mwaka mpya ndugu @KikulachoChako bila kumsahau dada yangu wa dhati kabisa @habari ya hapa, endapo tutavuka salama basi uwe mwaka wa baraka sana, bila kumsahau mwanangu mwenyewe @Th Name @ibra87, kaka mkubwa @mshana jr, watu wangu wa nguvu @Jimena @bennie369 @areta @einstien newton, bila kumsahau dada lake @nifah, BLESSED