WANA JF TUTAKIANE KHERI YA MWAKA MPYA.....

WANA JF TUTAKIANE KHERI YA MWAKA MPYA.....

Wanapaswa JF wote nawatakia Heri ya mwaka mpya 2016. Wale wanaotoa majina ya miaka wameupa jina gani? Nimgeupa jina la Akawe kawe
 
Nawatakia HERI YA MWAKA MPYA nyote mnaosoma uzi huu! Naanza mwaka na mguu wa kulia, DSM - ABU DHABI - NEW DELHI huku ETIHAD inahusika, ahsante OS kwa kibali!
Kumbe umepata?Hongera kaka.
Kheri ya mwaka mpya iwe nawe pia.
 
Nami nawatakia mwaka mpya wenye mafanikio zaidi kikubwa tumtangulize mungu ktk Mambo yetu Kwani yeye ndo kila Kitu kwetu
 
nakutakia heri ya mwaka mpya ndugu @KikulachoChako bila kumsahau dada yangu wa dhati kabisa @habari ya hapa, endapo tutavuka salama basi uwe mwaka wa baraka sana, bila kumsahau mwanangu mwenyewe @Th Name @ibra87, kaka mkubwa @mshana jr, watu wangu wa nguvu @Jimena @bennie369 @areta @einstien newton, bila kumsahau dada lake @nifah, BLESSED
Shukrani za dhati zikufikie hapo ulipo. Heri ya mwaka mpya kwako pia sambamba kabisa na @aretasludovick, @Bennie 369 pamoja na @NDUKI sio kwa kupotea huko mkuu

Heri ya mwaka mpya kwa wana JF woote!
 
Back
Top Bottom