Wana jf tuzingatie sheria za uandishi kwenye post zetu.

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
Nachukizwa mtu ameandika kicha cha news yake ambacho hakiendani na main body,juu cha news sentensi ukiingia kwenye body unakuta swali yaan vitu viwili tofauti,napenda jf ila siku hadi siku wanaonikera wanaongezeka mpaka kufungua post ya mtu inatia uvivu maana utakutana na vitu vya ajabu!
Hili ni ombi jamani utanguliza au hints ni maelezo mafupi ya main body kwahiyo hakikisheni vinashabihian.
Nawasilisha
 
Kicha!? Utanguliza!? Unayosema ni kweli ila na wewe jirekebishe.
 
Kipofu anajalibu kuwaongoza vipofu wenzake
kwa uwandishi huu mmmmh.!
 
Kicha!? Utanguliza!? Unayosema ni kweli ila na wewe jirekebishe.

nimeandika nikiwa na hasira na haraka maana kuna mtu alinikera nikasema niingie jf nako nikakuta vichwa vya habar havihusian na main body basi ikawa karaha juu ya karaha!
Unajua ni bora mtu akosee herufi na c kubadilisha maana!
Nitarekebisha next time
 
Back
Top Bottom