the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Nachukizwa mtu ameandika kicha cha news yake ambacho hakiendani na main body,juu cha news sentensi ukiingia kwenye body unakuta swali yaan vitu viwili tofauti,napenda jf ila siku hadi siku wanaonikera wanaongezeka mpaka kufungua post ya mtu inatia uvivu maana utakutana na vitu vya ajabu!
Hili ni ombi jamani utanguliza au hints ni maelezo mafupi ya main body kwahiyo hakikisheni vinashabihian.
Nawasilisha
Hili ni ombi jamani utanguliza au hints ni maelezo mafupi ya main body kwahiyo hakikisheni vinashabihian.
Nawasilisha