wana JF wa Bukoba mpo?


kamachumu ndo kijijini kw2 aise umenkumbusha mbali..
 
Ukiwa kamachumu,pale kuna hotel nzuri kdgo inaitwa kamachumu inn.bukoba mjin ipo walkguard ama nile parch...
 
duh! Ila kuna maneno tunachakachuliwa balaa. Nikija huko utanipeleka?

nipo huku kwa wala urojo ila nikienda tena kule nitakutaarifu tukutane hapo centre ya mji mkuu, lkn ujue safari ya kule kulala ndani ya basi si jambo la ajabu.
 
Umenikumbusha mbali sana hapo 888 nilikula wali samaki na samaki alikuwa mtamu kwelikweli.Hiyo restaurant ni nzuri.
Dah km hana za mawazo aende victorious hotel...samaki wa ukweli
 
nipo huku kwa wala urojo ila nikienda tena kule nitakutaarifu tukutane hapo centre ya mji mkuu, lkn ujue safari ya kule kulala ndani ya basi si jambo la ajabu.

sawa mamii. Mambo mengine niaje?
 
Hhahaaaaaa wacha kijana ale raha aisee...
Hahaha! Kula kijana kwa raha zako,

nje ya mada: nataka nihamie kanisani kwenu manake naona ndio karibu na hapa nilipo, nikaribishe mgeni.
 
Hahaha! Kula kijana kwa raha zako,

nje ya mada: nataka nihamie kanisani kwenu manake naona ndio karibu na hapa nilipo, nikaribishe mgeni.

Umeshaanza eh namuheshimu sana b52
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…