wana JF wa Bukoba mpo?

wana JF wa Bukoba mpo?

hata mimi nahisi huku ukerewe nipo peke yangu sijakutana hata na mwanajamii forum mmoja mpaka sasa. tutafutane wana kisiwa wenzangu
 
kwa maakuli (breakfast, lunch & dinner)Kuna triple 8 (888) wana msosi bomba na bei ya mtanzania.
hiyo nimeisikia pia, mwenzangu mmoja ameenda hapo mchana kapasifia sana...
 
Back
Top Bottom