wana JF wa Bukoba mpo?

Nimbona ebilo ebi abantu b'atuigisa akagambo katu gamba,yan nanye nagamb'ayo.mambo onyegere mno Ila Dar ebintu tibilungi alwokuba abaDr beija kutaa omgomo.
 


Nyegera waitu.. (cjui inamaanisha nini lakini nilipenda inavyotamkwa so hope ni salamu..)

Ebanae na mimi nimetua pande hizi toka ijumaa ni pa ukweli kichizi nimependa hali ya hewa ni very conducive kwa mazaliano...... namaanisha za mazalio ya mbu.. Msosi fresh uko hapa Bukoba Club full nyama choma, samaki wa foil kama kawa na unacheki ziwa kwa pembeni upepo mwanana na boti zinakatiza huku anopheles wakikutafuna miguuni kwa pozi.. Kuna club pia inaitwa Lina jana ndio nimeruka debe mpaka nikapoteza Nokia tochi yangu panaHappen kichizi sema ndiyo vile mpaka kaunta anaongea kilugha.. Options ni kibao ingawa majina mengine nimesahau, lakini its a quite n lovely place kukimbia matatizo na fujo za darisalama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…