Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Aaah picha hizi hizi za camera 360? Si utaniona byutful byutful kidogo my kaka afu ndo uje unione live sasa weeee. Ntashangaa tu " the number you are calling Is not reachable"; ntaliaje[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Unashangaa mtu kakata kona ya hatari, nusura aparamie viti!! kama alikuja na gari analirudia kesho!!
 
Hapo kaona tu gubichwa na gushepu kwa nyuma, hajaona "infront" sasa mmmh. Unashangaa my kaka ananiweka ignore lift hadi jf hehehe
Hahahaaaa! Huo sio umbea nilikuwa tu namsalimia my shemeji Paulo Sergio De Souz, alafu kapotelea wapi huyu mtu?
Unadhani kwenye umbea anakujaga basi, yupo busy na hip hop zake
 
Last edited by a moderator:
Hapo kaona tu gubichwa na gushepu kwa nyuma, hajaona "infront" sasa mmmh. Unashangaa my kaka ananiweka ignore lift hadi jf hehehe

Unadhani kwenye umbea anakujaga basi, yupo busy na hip hop zake

Kwani kunani? Jamani mie nauliza tu hataa sitaki kujua ujue!!🙄
 
Aaah picha hizi hizi za camera 360? Si utaniona byutful byutful kidogo my kaka afu ndo uje unione live sasa weeee. Ntashangaa tu " the number you are calling Is not reachable"; ntaliaje[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Hahaaaaaa eti utashangaa tu the number you are calling is not reachable.........khaaaa

Kwani utanitumia uliyoedit sista? haya bana
 
Mmh sina uhakika kama ntakutumia, ila ikitokea nimetuma basi ntatuma tu ya kuedit, maana Najua tu nikituma origino na undugu wetu utaishia hapo hapo
Umeona eeh, mi kwa kweli sijawahi ona sista anayechunga kaka yake kiasi hiki, daah yaani sina raha navyofukunyuliwa, loh!!

cc atoto

Ni kanywanywa hako mmh
 
Last edited by a moderator:
Unashangaa mtu kakata kona ya hatari, nusura aparamie viti!! kama alikuja na gari analirudia kesho!!

Hapo kaona tu gubichwa na gushepu kwa nyuma, hajaona "infront" sasa mmmh. Unashangaa my kaka ananiweka ignore lift hadi jf hehehe

Ila mi sinaga tabia hiyo, kwanza siangaliagi kwa nia ya kukagua au kuthaminisha, wasi wasi wenu tu. Mi sikosoagi uumbaji wa Mungu bana
 
My kaka kwani unadhani sie tunakoseaga uumbaji wa Mungu basi... Tatizo dada zako tulivyo mmmh usije tu ukaanza kumlalamikia Mungu
 
Mmh sina uhakika kama ntakutumia, ila ikitokea nimetuma basi ntatuma tu ya kuedit, maana Najua tu nikituma origino na undugu wetu utaishia hapo hapo

Hahaaaa mamiii hebu tufunge hii topic, ujue nacheka sana hapa tangu jana kila nikisoma comments zako naishia kucheka tu sista, hebu acha kunichekesha zaidi bana niko ofisini na watu wengine, khaaaaa!!
 
Teh waambie dada ako anawasalimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…